Kwamba Jeshi la Polisi mnataka mie nifike kwa DCI? Mnataka nijilete kwenu nyie ambao April 24, 2025 mliniteka pale Mahakama ya Kisutu mkakaa na Mimi Central Police kisha mkanijazisha na kunisainisha fomu ili nijidhamini halafu nimetoka tu nje mkanigeuka, Mkanikamata tena na kuniweka lockup. Nijilete tena?
Nijilete kwenu nyie ambao Oktoba 29 mmeuwa kwa risasi Watanganyika wenzangu zaidi ya elfu kumi na wengine mmewapa vilema vya maisha na wengine mpaka leo wanauguza majeraha ya risasi?
Nijilete kwenu nyie ambao mpaka leo mmeshindwa kuwakamata watu waliofanya jaribio la kumuua Mhe. Lissu kwa risasi 37 September 7, 2017 kule Dodoma.?
Yani mimi na akili zangu nijilete machinjioni si hata mtoto angu atanishangaa?Labda niwambie tu kwasasa nna kazi kubwa ya kupigania ukombozi wa Taifa letu, tupate Katiba Mpya, Tume huru ya Uchaguzi tuwe na mifumo Imara ya utoaji Haki ili wote tuishi kwa usawa kila Mwananchi aifurahie nchi yake na ahisi kuwa salama.
Baada ya hapo ndio tunaweza kuombana ushahidi wa andiko langu au mimi kujileta kwenu kwasasa acha niwasaidieni kwanza kupambania mifumo ibadilike na kazi yenu itakuwa rahisi. Hata mimi nitawapa ushirikiano huo muda ukifika. Tofauti na hapo sijileti machinjioni ng'o.
Pia soma: Polisi inafanya uchunguzi kutokana na taarifa ya Hilda Newton aliyochapisha kuwa Serikali imepanga kumuua Lissu kwa Risasi