PostGE2025 Hilda Newton: Maandamano yamefanikiwa kwa asilimia 200

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Hatuna bunduki wala silaha yoyote ila tuna bundle tu lakin tumefanikiwa kuifanya Serikali isimamishe shughuli zote nchi nzima.

Guys!.. guys! guys! sisi ni washindi maana maandamano ya kuiparalyze Serikali haram yamefanikiwa kwa asilimia 200 na tumewakosesha mapato.

Tumefanikiwa kuiweka Serikali haram yote kwenye panic mode ndo maana leo wanahaha kama kuku mwenye kiu ya maji

NB. Maandamano yetu hayana kikomo leo ilikuwa uzinduzi so kesho tutaendelea mpaka madai yetu yote ya msingi yafanyiwekazi.
 
Wamesimamisha miji yote ipo kimya
Sherehe za uhuru mmefuta kwa sababu yao
Shughuli za kiserikali nyingi zilikuwa zinasikilizia 9D
Askari wametanda miji yote
Shughuli za kiuchumi Mf. Kariakoo zimes
imama

Halafu kuna kenge anasema wamefeli
 
Maandamano hayafeli
Yamefeli tu ile mass movement lakini kwenye uchumi na uzalishaji mali yame win maana shughuli nyingi zimesimama na serikali imetumia rasilimali pesa , muda na wataalam wake kuyazuia. Kitu ambacho ni hasara
 
Madai yepi
 
Mbona serekali leo haijamzuia mtu kutoka nje? Hata kesho hamzuiwi nyumbu acheni uoga
 
Reactions: Tui
Tunacho mdai Samia mpaka Sasa niahakikishe mange anatiwa kwenye mkono wa sheriašŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…