Majeshi yameandamishwa nchi nzima wewe hili hujaliona? Yaani keyboard tu imewaendesha mchakamchaka serikali yote kudadadeq.Hilo libidada Halijitambui. Liambie lije kuandamana likiwa mstari wa mbele
Wanajeshi wameandamana kwa niaba ya Gen Z hujui kuimba kupokezana.😅😅 Maandamano ya Mtandaoni ,mara ya kwanza mlipata kipigo heavy ...Madogo wamegoma kutoka na watu wamelinda kqa kulipwa posho.
Mshukuru Abdul kakupa ajira ya kucomment mitandaoni bila hivyo ungekuwa kwa Mwamposa unaendeleza maigizo yako ya kujifanya kilema ,nakushauri mwambieni Abdul awe anawawekea na NSSF ili ikifika 2030 ajira ikikoma muwe na mitaji ya kuanzia maisha.Mbona serekali leo haijamzuia mtu kutoka nje? Hata kesho hamzuiwi nyumbu acheni uoga
sasa serikali ikikosa mapato ndio rais, makamu, waziri mkuu, speaker watarudi kula tembele huko kwenu bonyokwa? au walala hoi ndio watakaodhurika? Watu wengine hua mnafikiri kwa kutumia kiungo gani hasa katika miili yenu?maandamano ya kuiparalyze Serikali haram yamefanikiwa kwa asilimia 200 na tumewakosesha mapato.