PostGE2025 Hilda Newton: Madai ya watanganyika/Gen Z ni haya. Yakitimizwa upendo, Amani na haki vitatawala

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
MAANDAMANO MADAI YETU NI

1. Uchaguzi ufutwe

2. Miili ya ndugu zetu irudishwe.

3. Ndugu zetu waliotekwa warudishwe.

4. Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi.

5. Mauaji na Utekaji vikomeshwe.

6. Waliouwa ndugu zetu Oktoba 29 wawajibishwe.
 

Huyo dogo mjinga Sana

Anadai mili wakati VIFO kavisababisha yeye mwenyewe
 
Tarehe 25 unaandamana na nani? Hivi activists wana akili kweli?
 
Serikali haiongozwi kwa matamko ya recho dangwa sijui hilda Newton

Ni nyumbu tu atawasikiliza hao jamaa na mwisho wa siku watu wameshawachoka na ile hotuba ya jijini dar imesafisha kila kitu na utii wa jeshi


Kilichobaki ni hao akina hilarious kuanza kupoteza mvuto
 
kwahiyo ndiyo umejibu hoja zake hapo dah!mnaliletea ujinga hili jukwaa
 
MAANDAMANO MADAI YETU NI

1. Uchaguzi ufutwe

2. Miili ya ndugu zetu irudishwe.

3. Ndugu zetu waliotekwa warudishwe.

4. Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi.

5. Mauaji na Utekaji vikomeshwe.

6. Waliouwa ndugu zetu Oktoba 29 wawajibishwe.
7. TAL aachiwe Huru kwa sababu hana kesi ya kujibu!
 
Your wishes I guess. Watu wamekufa bila hatia halafu unasema ujinga huo. Kama anapendwa helicopter 2 juu za nini? chini magari at a supersonic speed ya nini? Why all that!

Pili majenerali hawapinui nchi, ni captains na watu wa chini! Hivyo kuwahutubia wanajeshi is nonsense maana hujui undani wao! Among them kuna waliopoteza ndugu zao mind you!
 
Shida yenu mshuhudie vifo vya watoto wadogo watakaotoka kusherekea sikukuu, ili mabwana zenu wasioitakia amani nchi mpate hela zao??
 
jibuni hoja zake yeye ndiye alikuwa anawafata watu majumbani na kuwapiga risasi?
Waliopigwa risasi ni wale vibaka waliokuwa wanavunja maduka na kuchoma moto magari na nyumba za serikali na watu binafsi!!
 
Waliopigwa risasi ni wale vibaka waliokuwa wanavunja maduka na kuchoma moto magari na nyumba za serikali na watu binafsi!!

huyu mama alichoma nini au unajisikia kupanua mdomo tu na huyu mtoto alichoma nini?
 
Hakuna hoja ujinga

Hao madogo wajinga Sana tunawadai uhai wa ndugu zetu
huna ndugu aliyeuwawa na ndiyo maana vifo vya hawa watoto vimekufurahisha sana endelea na furaha yako nina uhakika ni ya muda mfupi tu
 
Vibaka wanaovunja madirisha mtaani kwenu huwa mnawaleta polisi au mahakamani? So unajisahaulisha kuwa huwaga mnawachoma moto!!
Usijichukulie sheria mkononi ndio maana kuna mahakama. Kwahiyo mama yako mzazi angepigwa shaba ungekuwa unatetea watu kujichukulia sheria mkononi.
 
Usijichukulie sheria mkononi ndio maana kuna mahakama. Kwahiyo mama yako mzazi angepigwa shaba ungekuwa unatetea watu kujichukulia sheria mkononi.
Hapa unajiongelesha tu nazani hata mie nikija kuiba kwako asaiv halafu mkanidaka najua mtaniviringisha tairi, petrol kwa juu then mnanipiga kiberiti!! Masuala sheria mkononi sidhani kama unaweza kuyakumbuka!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…