PostGE2025 Hilda Newton: Madai ya watanganyika/Gen Z ni haya. Yakitimizwa upendo, Amani na haki vitatawala

PostGE2025 Hilda Newton: Madai ya watanganyika/Gen Z ni haya. Yakitimizwa upendo, Amani na haki vitatawala

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huyo dogo mjinga Sana

Anadai mili wakati VIFO kavisababisha yeye mwenyewe

Unasema kuwa huyo ni mjinga, mbona wewe inaonekana ni mwendawazimu. Yeye kasababishaje vifo? Kwani yeye ndiye aliyeandaa uchaguzi bandia?
Kwani yeye ndiye amekuwa anateka na kuua watu?
Kwani yeye ndiye aliwaleta wale wauaji toka Zanzibar?
 
Huyo dogo mjinga Sana

Anadai mili wakati VIFO kavisababisha yeye mwenyewe
Mbona mnatuharibia siku bila sababu? Kwani Hilda ndio alitoa amri ya kuua? Hata kama Hilda alitoa amri ya kuua kwa nini mkubali kuwaua ndugu zetu?
 
Huyo dogo mjinga Sana

Anadai mili wakati VIFO kavisababisha yeye mwenyewe
Ni mgonjwa wa akili huyo dada...tumezika ndugu zetu ,yeye kakalisha kinembe huko uhamishoni kimya ..na zaidi ni mmoja wa wanaufaika wa mabilioni ya ford foundation
 
Shida yenu mshuhudie vifo vya watoto wadogo watakaotoka kusherekea sikukuu, ili mabwana zenu wasioitakia amani nchi mpate hela zao??
Unaweza kunijibu hili swali? Kwa nini watoto wadogo wauwawe? Kwa nini muwauwe?
 
Hivi ukibaki na upumbavu wako kichwani utapungukiwa nini? Mbona mnatuharibia siku bila sababu? Kwani Hilda ndio alitoa amri ya kuua? Hata kama Hilda alitoa amri ya kuua kwa nini mkubali kuwaua ndugu zetu? Kvmamako bloodfvckin wewe jamaa
Tuliza kipago tafuta pesa ...tungejikalia zetu nyumbani, tungeuwawa kama kuku? Huyo kidada na grup lake waliowaingiza mkenge watanzania Hadi yakatokea ya kutokea ..kimya kimya kapokea mabilioni kutokana na damu za watu...mtu unaishi uhamishoni unawaambia watu watoke wafanye fujo, wachome magari, nyumba , ofisi, biashara za watu, halafu tutegemee askari watatufurahia na kupiga vigelegele ..
 
Tuliza kipago tafuta pesa ...tungejikalia zetu nyumbani, tungeuwawa kama kuku? Huyo kidada na grup lake waliowaingiza mkenge watanzania Hadi yakatokea ya kutokea ..kimya kimya kapokea mabilioni kutokana na damu za watu...mtu unaishi uhamishoni unawaambia watu watoke wafanye fujo, wachome magari, nyumba , ofisi, biashara za watu, halafu tutegemee askari watatufurahia na kupiga vigelegele ..
Jibu swali. Kwa nini muwauwe ndugu zetu? Kama hujui kuelewa swali tuliza
 
Usijichukulie sheria mkononi ndio maana kuna mahakama. Kwahiyo mama yako mzazi angepigwa shaba ungekuwa unatetea watu kujichukulia sheria mkononi.
Kwani mama yake alienda kuvunja duka na kuiba ama kuchoma sheli...
 
Jibu swali. Kwa nini muwauwe ndugu zetu? Kama hujui kuelewa swali tuliza hicho kinyeo cha abdul
😂😂😂😂 Tuliza kipago dogo
Jibu swali na wewe kwanini muingizwe mkenge na genge hili mpindue nchi na mumpindue Rais, na zaidi mchome nchi sheli za mafuta , biashara za watu, magari ya watu, nyumba za wananchi, gari binafsi za wananchi, za serikali,..halafu mtegemee kukumbatiwa kwa furaha na Dola...waliouliwa ni wahalifu na wasio wahalifu ambao waliingizwa mkenge na kundi hili na genge hili ...ilihali tuliambiwa tukitoka kupiga kura tuende nyumbani ..tusubirie matokeo...na sio kuingia barabarani ...
 

Attachments

  • 20251214_201213.jpg
    20251214_201213.jpg
    136.4 KB · Views: 17
Nonsense 🚮, watanzania hatudanganyiki na wachochezi!
 
Wako sawa ila sio sahihi
Ukiangalia kwa makini utagundua hoja 4 kati ya 6 zaidi ya 66% zimezaliwa baada ya approach ya 29Oct.
Then, 1 kati ya 2 zilizobaki kwa maana ya "Katiba" ni kama ilikuwa na mwelekeo mzuri maana hata watawala walishaliona kama mtaji wa mbeleni ni wazi lingefanyiwa kazi.
Hoja pekee iliyokuwa na ukimya mkubwa ni utekaji, kuumizwa au mauaji ya wakosoaji wa serikali.


Nataka kusema yaliyotokea Mo29, yalifaa kuwa mesej nzuri na ya kutosha kabisa kuelekea kwenye maridhiano na baadae Amani na utawala bora.

Ingawa kilichotokea hakikutarajiwa, japo kilipangwa; naona ni muhimu kama tungekubaliana na approach za maridhiano wakati uwanja umelalia kwa utawala.

Mipango mipya kama D9 na mingine ikifeli inamaana umempa adui karata yako ya ushindi. Na kurejesha mzani sawa wakati tayari mashinikizo yalikuwa upande mmoja.
 
Unaweza kunijibu hili swali? Kwa nini watoto wadogo wauwawe? Kwa nini muwauwe?
Hujasikia jenzii wanapeana connection za kupata silaha? Hawa jenzii hawashindwi kuua kisha wasingizie polisi ili Mradi tu serikali ichafuke!!!
 
Huyo dogo mjinga Sana

Anadai mili wakati VIFO kavisababisha yeye mwenyewe
Hivi fedha na madaraka mnayopewa bila kustahili ndivyo vinavyosababisha upungufu kichwani mwenu au ni ELIMU ndogo?
1. Utekaji ulikuwepo kabla uchaguzi hukuuona
2. Mauaji ya watu tena hadharani kama mzee kibao wewe hukuona shida?
3.Manyanyaso wakati wa uchaguzi wewe hukuona hilo
4.Vyombo vya usalama kufanya upendeleo wewe hukuona hilo?
5.Ajira nyingi kuwa za upendeleo wewe kabla ya uchaguzi na maandamano hukuona hilo .

MUNGU MWNYEWE AKUSAIDIE UPATE HOFU NA UTU FEDHA HIZO ZITAISHI
 
MAANDAMANO MADAI YETU NI

1. Uchaguzi ufutwe

2. Miili ya ndugu zetu irudishwe.

3. Ndugu zetu waliotekwa warudishwe.

4. Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi.

5. Mauaji na Utekaji vikomeshwe.

6. Waliouwa ndugu zetu Oktoba 29 wawajibishwe.


Serikali hii siyo ya kushurutishwa hata kidogo...hamuwezi kupindua Dola tukawatazama tu, mtakula za vichwa
 
Tarehe 25 unaandamana na nani? Hivi activists wana akili kweli?
Mashetani ndio huwa hawana akili. 10,000 people killed , avtivists wanataka uwajinikaji, wewe unasema hawana akili. Asiye na akili ni yule ambaye haoni haki
 
Back
Top Bottom