Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Kutoka kwenye account ya Hilda Newton kule X ameandika taarifa hii
==================
Mjumbe wa Kamati Tendajji ya Chadema Wilaya ya Busega Mhe. Lobezi Kuliko Masanya ametekwa na watu wasiojulikana jioni ya leo tarehe 01/10/2025 akiwa kazini kwake NYAMIKOMA Wilaya ya Busega.Walioshuhudia tukio hilo wamesema kuwa ametishiwa Bunduki na kuingizwa kwenye gari kwa nguvu na kuondoka kuelekea Barabara ya Mwanza.