Hilda Newton weka akiba ya maneno

Hilda Newton weka akiba ya maneno

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Hilda Newton ameona fursa sasa anaifukuzia ila namkumbusha aweke akiba ya maneno tangu juzi amefungilia koki ya maneno nafikiri ananyemelea nafasi iwapo tu wale wanawake walioapishwa kama watafukuzwa.

Najaribu kumwambia tu hii ni siasa na bongo huwa hakuaminiki mara paapu kama chama kitawasamehe wale wanawake yeye sijui ataongea nini tena kwa chuki anayo ionyesha juu ya wenzie. Mimi nimwambie tu lilofanyika halikufanyika kwa bahati mbaya hivyo linaweza kupita kama yalivyopita mengine ikawa tofauti na matarajio yetu.

Hivyo Hilda kuwasema wenzio vibaya sio silaha ya kutuaminisha kuwa wewe pia una mapenzi sana na CHADEMA upo kwa maslahi yako!
 
Anaumia sababu Halima hakumjumuisha kwenye list ya covid19, akawekwa Nesca mke wa Kafulila kada wa CCM.
 
Angekuwa na msimamo tofauti kama jina lake lingekuaa miongoni mwa majina 19.

Binadamu ndivyo tulivyo.
Ndio Robert Greene katika kitabu chake cha Laws of Power anasema
".. Kamwe usiamini maelezo na msimamo wa sasa wa mtu kuwa ndio utakuwa msimamo wake wa milele, watu wanabadilka kutokana na mambo mbalimbali..."
 
Mashoga wa CCM mmegeuka kuwa washauri wakuu wa wana CHADEMA, kweli maajabu ya vilaza hayaishi duniani.

Upinzani nchi hii hautakufa kwa sababu hakuna chadema. wala CHADEMA haitakufa kwa kufukuza watu 19. upinzani hauwezi kufa kamwe kwa sababu ccm haina mawazo ya kuongoza nchi. ni hajuza. kizee. haina uwezo wa kufanya lolote mbali na kutumia maguvu na hujuma.
 
Haahaa leo mdee na bulaya wanatetewa na wanaccm.wakati ni wanaccm haohao walioingiza kura feki vituoni ili washindwe uchaguzi kwa hila
 
Hawatetewi ila inashangaza anapowashupalia wenzie ili hali na ni mdhaifu wa mambo mengi!
Haahaa leo mdee na bulaya wanatetewa na wanaccm.wakati ni wanaccm haohao walioingiza kura feki vituoni ili washindwe uchaguzi kwa hila
 
Ni kweli kwa kuwa upinzani dhaifu wachumia tumbo na wabinafsi hawapo kwa maslahi ya wananchi!
Mashoga wa ccm mmegeuka kuwa washauri wakuu wa wana Chadema, kweli maajabu ya vilaza hayaishi duniani.

upinzani nchi hii hautakufa kwa sababu hakuna chadema. wala chadema haitakufa kwa kufukuza watu 19. upinzani hauwezi kufa kamwe kwa sababu ccm haina mawazo ya kuongoza nchi. ni hajuza. kizee. haina uwezo wa kufanya lolote mbali na kutumia maguvu na hujuma.
 
Mamsengerema nyie ..mumeacha kuifanya Tanzania kua kama Denmark na watanzania kuwa mabilionea, mnaanza kukimbizana na akina halima mdee kama makuku ambayo hayajapanda majike miaka
 
Hilda Newton ameona fursa sasa anaifukuzia ila namkumbusha aweke akiba ya maneno tangu juzi amefungilia koki ya maneno nafikiri ananyemelea nafasi iwapo tu wale wanawake walioapishwa kama watafukuzwa.

Najaribu kumwambia tu hii ni siasa na bongo huwa hakuaminiki mara paapu kama chama kitawasamehe wale wanawake yeye sijui ataongea nini tena kwa chuki anayo ionyesha juu ya wenzie. Mimi nimwambie tu lilofanyika halikufanyika kwa bahati mbaya hivyo linaweza kupita kama yalivyopita mengine ikawa tofauti na matarajio yetu.

Hivyo Hilda kuwasema wenzio vibaya sio silaha ya kutuaminisha kuwa wewe pia una mapenzi sana na CHADEMA upo kwa maslahi yako!

Akiba yenyewe ndio hii hapa kipara kipya

IMG-20220226-WA0025.jpg
 
Huy pia alikumbushwa!
 
Back
Top Bottom