kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Hilda Newton ameona fursa sasa anaifukuzia ila namkumbusha aweke akiba ya maneno tangu juzi amefungilia koki ya maneno nafikiri ananyemelea nafasi iwapo tu wale wanawake walioapishwa kama watafukuzwa.
Najaribu kumwambia tu hii ni siasa na bongo huwa hakuaminiki mara paapu kama chama kitawasamehe wale wanawake yeye sijui ataongea nini tena kwa chuki anayo ionyesha juu ya wenzie. Mimi nimwambie tu lilofanyika halikufanyika kwa bahati mbaya hivyo linaweza kupita kama yalivyopita mengine ikawa tofauti na matarajio yetu.
Hivyo Hilda kuwasema wenzio vibaya sio silaha ya kutuaminisha kuwa wewe pia una mapenzi sana na CHADEMA upo kwa maslahi yako!