kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Mfumo dume utawamaliza , hizonafasi zingekua na wake zenu au nyie wanaume mungekua kimya na poshomungekua mnavutaaa. Hao wamama waacheni wakatafute riziki zao, na nyie wanaume mliogaragazwa subirini awamu nyinginee.CCM mshauri mkuu wa Chadema. nasikia kesho mnavalishwa sare na kuandamana
Mmeanza kuamini anayowaambia mpiga ramli kweli chadema inaendeshwa na kigogo!CCM mshauri mkuu wa a CHADEMA. Nasikia kesho mnavalishwa sare na kuandamana
Huyu dada amekuwa kama Vuvuzela
Anaumia sababu Halima hakumjumuisha kwenye list ya covid19, akawekwa Nesca mke wa Kafulila kada wa CCM.
Mbona nyie mmemtosa Hawa Ghasia??Anajisahau nae ndio wale wale tu!
Mbona nyie mmemtosa Hawa Ghasia??
Haahaa leo mdee na bulaya wanatetewa na wanaccm.wakati ni wanaccm haohao walioingiza kura feki vituoni ili washindwe uchaguzi kwa hila
Mashoga wa ccm mmegeuka kuwa washauri wakuu wa wana Chadema, kweli maajabu ya vilaza hayaishi duniani.
upinzani nchi hii hautakufa kwa sababu hakuna chadema. wala chadema haitakufa kwa kufukuza watu 19. upinzani hauwezi kufa kamwe kwa sababu ccm haina mawazo ya kuongoza nchi. ni hajuza. kizee. haina uwezo wa kufanya lolote mbali na kutumia maguvu na hujuma.
Hilda Newton ameona fursa sasa anaifukuzia ila namkumbusha aweke akiba ya maneno tangu juzi amefungilia koki ya maneno nafikiri ananyemelea nafasi iwapo tu wale wanawake walioapishwa kama watafukuzwa.
Najaribu kumwambia tu hii ni siasa na bongo huwa hakuaminiki mara paapu kama chama kitawasamehe wale wanawake yeye sijui ataongea nini tena kwa chuki anayo ionyesha juu ya wenzie. Mimi nimwambie tu lilofanyika halikufanyika kwa bahati mbaya hivyo linaweza kupita kama yalivyopita mengine ikawa tofauti na matarajio yetu.
Hivyo Hilda kuwasema wenzio vibaya sio silaha ya kutuaminisha kuwa wewe pia una mapenzi sana na CHADEMA upo kwa maslahi yako!
Huy pia alikumbushwa!Hilda Newton ameona fursa sasa anaifukuzia ila namkumbusha aweke akiba ya maneno tangu juzi amefungilia koki ya maneno nafikiri ananyemelea nafasi iwapo tu wale wanawake walioapishwa kama watafukuzwa.