Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Utaambiwa Una roho mbaya.Leo asubuhi nimesikia kwenye redio kipindi cha kusomewa magazeti kuwa rais ameagiza serikali isimamie na kugharamia maziko ya makada wa CCM huko Njombe waliofariki kwa ajali wakiwa kwenye shughuri za chama chao, kitendo hiki hakitoi haki kwa watamzania wote ambao si wafuasi wa CCM ambao hawakupewa msaada kama huu baada ya kufikwa na janga kama hili.
KATIBA MPYA ITAKUWA SULUHISHO KWENYE MATUMIZI HARAMU YA PESA ZA UMMA.
Pia soma
- Makete: Ajali ya gari yaua viongozi 6 wa CCM
hata wale watumishi hewa wa magufuli 60% walikuwa makada wa ccm. kada yupo same mshahara unasoma NACHINGWEA. chama cha ajabu sana kileLeo asubuhi nimesikia kwenye redio kipindi cha kusomewa magazeti kuwa rais ameagiza serikali isimamie na kugharamia maziko ya makada wa CCM huko Njombe waliofariki kwa ajali wakiwa kwenye shughuri za chama chao, kitendo hiki hakitoi haki kwa watamzania wote ambao si wafuasi wa CCM ambao hawakupewa msaada kama huu baada ya kufikwa na janga kama hili.
KATIBA MPYA ITAKUWA SULUHISHO KWENYE MATUMIZI HARAMU YA PESA ZA UMMA.
Pia soma
- Makete: Ajali ya gari yaua viongozi 6 wa CCM
Leo asubuhi nimesikia kwenye redio kipindi cha kusomewa magazeti kuwa rais ameagiza serikali isimamie na kugharamia maziko ya makada wa CCM huko Njombe waliofariki kwa ajali wakiwa kwenye shughuri za chama chao, kitendo hiki hakitoi haki kwa watamzania wote ambao si wafuasi wa CCM ambao hawakupewa msaada kama huu baada ya kufikwa na janga kama hili.
KATIBA MPYA ITAKUWA SULUHISHO KWENYE MATUMIZI HARAMU YA PESA ZA UMMA.
Pia soma
- Makete: Ajali ya gari yaua viongozi 6 wa CCM
Kwani Upinzani wamekufa kwa mpigo kwa ajali na serikali ikakataa kuwazika kitaifa?Utaambiwa Una roho mbaya.
Ok sawaLeo asubuhi nimesikia kwenye redio kipindi cha kusomewa magazeti kuwa rais ameagiza serikali isimamie na kugharamia maziko ya makada wa CCM huko Njombe waliofariki kwa ajali wakiwa kwenye shughuri za chama chao, kitendo hiki hakitoi haki kwa watamzania wote ambao si wafuasi wa CCM ambao hawakupewa msaada kama huu baada ya kufikwa na janga kama hili.
KATIBA MPYA ITAKUWA SULUHISHO KWENYE MATUMIZI HARAMU YA PESA ZA UMMA.
Pia soma
- Makete: Ajali ya gari yaua viongozi 6 wa CCM