BEST 001
JF-Expert Member
- Nov 14, 2021
- 242
- 475
Picha: Kushoto ni Kendrick Lamar, kulia ni Drake (Credit: Getty images)
Baada ya gumzo kubwa kutokea pale metro na future kumshirikisha KENDRICK LAMAR kwenye track yao ya LIKE THAT na Kendrick Lamar kutema shit kubwa sana kuhusu BIG 3 na kuwa yupo BIG mwenyewe , ilimuumiza kichwa sana Drake na kuamua kuachia diss track mbili mfululizo ambazo ni PUSH UPS na TAYLOR MADE FREESTYLE ambapo Drake alitumia AI za 2PAC na SNOOP DOG kuwadis Kendrick lamar na metro boomin na ali flow kisasa na vizuri
Sasa Leo kwenye pita pita zangu mtandaoni nikaona bwana Kendrick Lamar kaangusha DISS HEAVY kwa kijana Drake linaitwa euphoria nenda kalisikilize pitia lyrics utaona kuwa hii ngoma ni moja wapo ya diss track bora kutokea duniani ni diss track ya dakika 6 ila humo ndani mwamba kamtafuna vibaya mpaka kucha rangi.
Vipi wakuu mnaonaje hili bifu lao halitoishia kwenye yale ya BIGGY na PAC maana humo ndani drake kafichwa ningekua mimi na moyo wangu wa mtafute mtafute ningeshamsaka jamaa maana sio kwa diss bar hizi mfano wa bars ni hizi;