Hili bunge limejaa washenzi na wahuni sijapata kuliona toka tupate uhuru, Rev. Mtikila

Hili bunge limejaa washenzi na wahuni sijapata kuliona toka tupate uhuru, Rev. Mtikila

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kwa waliomsikia BBC.

Mchungaji Mtikila leo huyu jamaa amekandia bunge lote la katiba na kusema anasikitka soon atalicha bunge hilo mana limechaguliwa kihuni.

Nasema hivi wambieni kabsa nimesema hili ni bunge la kihuni limechaguliwa kihuni ndio maana unakutana na mambo ya kishenzi mnayoendelea kuyaona.

Nasema tangia uhuru sijapata kuona bunge la kihuni kama hili.

Sitoshangaa maamuzi ya kihuni na kishenzi kutokea siku tunaagana pale nje.

Huyo ni rev. Christopher Mtikila.

Source: BBC swahili
 
yupo sahihi kabisa nilimsikiliza wakati ametangazwa kuchaguliwa aluonyesha wazi kabisa kuwa hakuihitaji nafasi hiyo shauri 90% anapingana nayo hasa mchakato mzima wa kuandaa lasim hiyo mpaka ukusanyaji WA maoni.ushilikishwaji wawana nchi mchakato mzima wa uteuzi
 
Ndiyo kusema huyo mtikila amelikacha kabisa bunge la katiba?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ukweli wahuni wapo na tutaona vituko zaidi watakapoanza mjadala
 
Nasikia kuna mjumbe katinga na wife wake.
na kuna mwingine anawakilisha wachawi
 
Jk avunje warudi makwao wapo watu wengi wa kujadili sio hao tu
 
Hahahahaaa angemalizia kuwa waliowachagua na waliochaguliwa wote ni ....na wa...... wakubwa na hicho kinachojadiliwa nai cha..... na tena cha ........kabisaaaaaa. na wote watakaosikiliza ni wa...... na tena ni wa ......... kabisa
 
yupo sahihi kabisa nilimsikiliza wakati ametangazwa kuchaguliwa aluonyesha wazi kabisa kuwa hakuihitaji nafasi hiyo shauri 90% anapingana nayo hasa mchakato mzima wa kuandaa lasim hiyo mpaka ukusanyaji WA maoni.ushilikishwaji wawana nchi mchakato mzima wa uteuzi

Yeye ni kiongozi katika chama chake badala ya kupendekeza wengine akajipendekeza yeye, leo anaibuka na kutudanganya kua hakuitaji nafasi hiyo swali la kujiuliza ni nani aliyempendekeza?
 
Hakuna ajabu hapo maana Watanzania wengi ni wahuni tu hasa wa mijini.
 
Yeye ni kiongozi katika chama chake badala ya kupendekeza wengine akajipendekeza yeye, leo anaibuka na kutudanganya kua hakuitaji nafasi hiyo swali la kujiuliza ni nani aliyempendekeza?

Kapendekezwa na Mkulu kama alivyopendekezwa Maria Sarungi na yule mwandishi wa Mwananchi.

Kweli limejaa wahuni maana kuna siku Bunge linaendelea aliTweet kule Twitter huyo mtoto wa Sarungi na kusema"Niko Mjengoni nimekaa pembeni yangu Gaudience Kabaka na Mustapha Mkulo" nimkamuuliza kweli upo serious unafuailia au we ndio busy na iPad kuTweet, hakujibu kala unyayo.
 
siku nyingi hatujaona comedy mpya maana akina masanja tumeshawachoka acha tuenjoy vichekesho vipya
 
Kapendekezwa na Mkulu kama alivyopendekezwa Maria Sarungi na yule mwandishi wa Mwananchi.

Kweli limejaa wahuni maana kuna siku Bunge linaendelea aliTweet kule Twitter huyo mtoto wa Sarungi na kusema"Niko Mjengoni nimekaa pembeni yangu Gaudience Kabaka na Mustapha Mkulo" nimkamuuliza kweli upo serious unafuailia au we ndio busy na iPad kuTweet, hakujibu kala unyayo.

Chama chake cha DP ndo kilimpendekeza, hivi vyama vingine sijui vinaendeshwaje kuna chama kingine kilipeleka majina mawili tu mtu na mke wake.
 
Mch. Mtikila katumia maneno makali, mazito na machafu lakini kwa upande wa pili unaweza kumtetea kwa maana hata angelikuwa mtaalamu gani wa lugha hapa duniani ni ngumu kupata majina sahihi ya kuwaita hawa watu mbali na haya aliyotumia!
 
Back
Top Bottom