CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
Kwa waliomsikia BBC.
Mchungaji Mtikila leo huyu jamaa amekandia bunge lote la katiba na kusema anasikitka soon atalicha bunge hilo mana limechaguliwa kihuni.
Nasema hivi wambieni kabsa nimesema hili ni bunge la kihuni limechaguliwa kihuni ndio maana unakutana na mambo ya kishenzi mnayoendelea kuyaona.
Nasema tangia uhuru sijapata kuona bunge la kihuni kama hili.
Sitoshangaa maamuzi ya kihuni na kishenzi kutokea siku tunaagana pale nje.
Huyo ni rev. Christopher Mtikila.
Source: BBC swahili
Ni kweli mijitu inashughulikia posho. Stupid, mkusanyiko wa washenzi na wahuni wa posho. garbage in garbage out! Lazima itoke "katiba" garbage. JK umeweka historia ya mabaya kaka yangu! Washauri wako wabaya