yupo sahihi kabisa nilimsikiliza wakati ametangazwa kuchaguliwa aluonyesha wazi kabisa kuwa hakuihitaji nafasi hiyo shauri 90% anapingana nayo hasa mchakato mzima wa kuandaa lasim hiyo mpaka ukusanyaji WA maoni.ushilikishwaji wawana nchi mchakato mzima wa uteuzi
Yeye ni kiongozi katika chama chake badala ya kupendekeza wengine akajipendekeza yeye, leo anaibuka na kutudanganya kua hakuitaji nafasi hiyo swali la kujiuliza ni nani aliyempendekeza?
Kapendekezwa na Mkulu kama alivyopendekezwa Maria Sarungi na yule mwandishi wa Mwananchi.
Kweli limejaa wahuni maana kuna siku Bunge linaendelea aliTweet kule Twitter huyo mtoto wa Sarungi na kusema"Niko Mjengoni nimekaa pembeni yangu Gaudience Kabaka na Mustapha Mkulo" nimkamuuliza kweli upo serious unafuailia au we ndio busy na iPad kuTweet, hakujibu kala unyayo.