Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Kama mmeona sasa hivi karibu kila siku Lugumi yuko kwenye media, mara katoa msaada kwa watoto yatima, mara anajengea yatima nyumba, mara kaalika watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu kufanya dua, mara sijui kaenda kulisha wapi, yaani ni heka heka mtindo mmoja.
Na Millard kama kawa kwenye ishu hizi hakosi. Siyo siri kuwa anatumika na watu mbalimbali mashuhuri kuwasafisha kutokana na uozo wanaofanya kwa maslahi binafsi.
Mitume na manabii wenye rekodi za ajabu wanamtumia Millard awasafishe, wanasiasa wapuuzi wakitaka mambo yao yapaishwe kuonekana wema na wanawatumikia watanzania kama mama Teresa Millard ndio kimbilio lao, GSM (Home Shopping Center) wamemtumia vizuri kuwanfanya raia wawaone wema wakati ni wachafu zaidi ya uchafu wenyewe (kupata picha ya ufirauni wa kina GSM soma hapa -
www.jamiiforums.com
.
Millard kafuta habari zote za ufisadi kuhusu Lugumi unafikiri amefanya hivyo bila kuachiwa mzigo? Kwa hili chapuo anafanya kuhakikisha yupo machoni petu kila wakati atakuwa kamegewa mzigo mchafu wa kutosha.
Ninavyofahamu Lugumi ako na skendo za ufisadi wa kutosha, na nasikia ni mafia kwelikweli.
Hili chapuo si bahati mbaya, limekuja ghafla na kwa kasi ya ajabu, inadaiwa anaenda kuingizwa Jeshini (kama bado halijafanyika tayari) na hii ni hatari kwa usalama wa nchi.
Tunaenda kupigwa na kitu kizito jamani, amkeni tukatae mafisadi, hili bomu linalokuja tutabaki mdomo wazi!
Ni kwanini haya yanatokea chini ya Utawala wa Rais Samia?

Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)
Mfanyabiashara Said Mohammed Saad Utangulizi Mfanyabiashara Said Mohammed Saad anamiliki Kampuni ya Home Shopping Center iliyopo Kariakoo Mtaa wa Swahili na Msimbazi katika Jengo la Ghorofa lenye vioo vilivyochorwa picha za waigizaji wa Kikundi cha Orijino Commedy kinachorusha vipindi...
Millard kafuta habari zote za ufisadi kuhusu Lugumi unafikiri amefanya hivyo bila kuachiwa mzigo? Kwa hili chapuo anafanya kuhakikisha yupo machoni petu kila wakati atakuwa kamegewa mzigo mchafu wa kutosha.
Ninavyofahamu Lugumi ako na skendo za ufisadi wa kutosha, na nasikia ni mafia kwelikweli.
Hili chapuo si bahati mbaya, limekuja ghafla na kwa kasi ya ajabu, inadaiwa anaenda kuingizwa Jeshini (kama bado halijafanyika tayari) na hii ni hatari kwa usalama wa nchi.
Tunaenda kupigwa na kitu kizito jamani, amkeni tukatae mafisadi, hili bomu linalokuja tutabaki mdomo wazi!
Ni kwanini haya yanatokea chini ya Utawala wa Rais Samia?
Tusisahau ya Cambiaso na Football Academy.