Hili daftari ya wakazi huko ulipo lipo au ni kwetu tu

Kindus

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Posts
4,257
Reaction score
3,383
Kuna daftari linapita katika baadhi ya vijiji likiwataka watu kuandikisha taarifa zao mie kuna kijiji nipo nimealazimishwa kuandikishwa vip huu utaratibu ukoje hebu nijuzeni hii ni sheria au kitu gan
 
jiandindikishe bila shuruti gentleman,
ni kwa faida ya usalama wako mwenyewe 🐒
 
Hiyo ni sensa ya siri ya wenyeviti wa vijiji ili wajue mademu warembo na machalii wenye hela waliopo eneo hilo kwa ajili ya connection zao.
 
Baadae watayatumia hayo majina kwenye mambo ya michango kama ya mwenge au mambo yoyote ya kwenye vijiji ila ni muhimu uandikishe kiusalama ukikataa wanawezq kukushuku kwenye mambo ya uhalifu.
Ingekuwa ni jambo la kitaifa lingetangazwa nchi nzima hayo mambo huwaga wanajiongeza tu wale watendaji na Wakurugenzi wa wilaya.
 
Kuna daftari linapita katika baadhi ya vijiji likiwataka watu kuandikisha taarifa zao mie kuna kijiji nipo nimealazimishwa kuandikishwa vip huu utaratibu ukoje hebu nijuzeni hii ni sheria au kitu gan
CCM wanaposema wanataka kutawala milele; hizo ndiyo njia za kutimiza hilo lengo.

Mnaletewa tu daftari, na wala hamjashirikishwa kwa njia yoyote uwepo wa hilo daftari, hata kwenye nchi kandamizi haijapata tokea namna hiyo.

Hawa watu wanataka kuwafuga waTanzania kama wanyama wafugwao.
 
Mamlaka kuu "SERIKALI" kila siku inatutangazia kuwa "TUSITOE TAARIFA ZETU BINAFSI KWA MTU YEYOTE ASIYEKUWA MTUMISHI HUSIKA WA SERIKALI KUU ASIYE NA KITAMBULISHO".
serikali zote za vijiji na mitata ndivyo hufanya hivyo kwa usalama wa wageni na wenyenyeji wanaoingia na kutoka mtaa au kijiji husika.

ikiwa unaona elimu ni mali, jaribu ujinga 🐒
 
Baadae watayatumia hayo majina kwenye mambo ya michango kama ya mwenge au mambo yoyote ya kwenye vijiji ila ni muhimu uandikishe kiusalama ukikataa wanawezq kukushuku kwenye mambo ya uhalifu.
Ingekuwa ni jambo la kitaifa lingetangazwa nchi nzima hayo mambo huwaga wanajiongeza tu wale watendaji na Wakurugenzi wa wilaya.
Hilo daftari kwa hali iliyopo nchini sasa hivi halina usalama hata kidogo.

Jambo kama hili kiongozi mtaani hawezi tu kuamka na kujitungia mwenyewe kwa eneo lake pekee.

Hili ni jambo kubwa sana katika jamii nzima ya kiTanzania.
Ni jambo linalotakiwa kujadiliwa, na hata kutungiwa sheria kama linakubalika.

Hii ni njia ya kuwaelekeza watekaji kwa watu wanaotakiwa kutekwa
 
Kuna daftari linapita katika baadhi ya vijiji likiwataka watu kuandikisha taarifa zao mie kuna kijiji nipo nimealazimishwa kuandikishwa vip huu utaratibu ukoje hebu nijuzeni hii ni sheria au kitu gan
Tii Sheria bila shuruti. Hilo daftari lipo kila kitongoji, kila Kijiji na kila mtaa.
 
Msitoe TAARIFA zenu, hawana nia njema hao
 
Back
Top Bottom