Hili dili litamuacha promota na mamilioni, Miaka 30 ya rose muhando, utapigwa pesa sana hasa Kanda ya ziwa

Hili dili litamuacha promota na mamilioni, Miaka 30 ya rose muhando, utapigwa pesa sana hasa Kanda ya ziwa

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,686
Reaction score
10,018
Wazee wa big deal, NAIONA hii kama fursa ya kupata mamilioni kibao, kuanda tour na kumzungusha rose muhando kufanya matamasha pesa ipo wakuu amini hilo, hot song kama nibebe, UTAMU nk zinatosha kabisa kukusanya Kijiji, MIKOANI huko, hii ziara itakupa mamilioni ya burebure mkuu trust the process
Screenshot_20260826-060327.jpg
 
Rose muhando

Saida karoli

Ni arguabbly wasanii ambao waliwahi kuwa na fun base kubwa kuliko yoyote hapa nchini

Ila sasa maisha waliyopitia amid fame yao ni very shameful.
 
Back
Top Bottom