Hili draft la Dalmax la Google Play limenishinda aisee, hii app ina mchezo mkubwa sana

Yes computer zinasoma kupitia mfumo wa articial neural networks algorithm. Mfano computer kutambua fingerprints au picha.Computer inasoma kwa kupewa mifano.
Nakubaliana na wewe maana mfano ukamfunga kwa copy fulani ukirudia tena kwenye mchezo mwingine anabadirika na humfungi tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
siyo kwamba sababu ni machine ndio haiwezi kufungwa

ukitaka win hii game cha kwanza tegua kila mtego unaaona anaupanga,yaani wewe tegua...halafu tega wa kwako huku ukiamini na yeye anategua yako na kutega yake,sasa hapo mnatega na kuteguana...atayebanwa ndio anashinda.

never do an assumption kwamba hataona mtego,never...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…