Hili draft la Dalmax la Google Play limenishinda aisee, hii app ina mchezo mkubwa sana

na jitangaza mshindi nimetumia sekunde 36 kushinda dalmax
Screenshot_20200518-170937.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mengi ya hayo madraft hayana sheria za Tanzania. Ni madraft ya kindezi sana. Mfano unakuta umeingia king,halafu kuna kete yake inatakiwa iliwe either na king au kete yangu ya kawaida na mimi nakuwa nimetega kula kwa kete yangu isiyo king. Anakukatalia kula kwa kete ya kawaida anataka ule kwa king tu. Mwenye draft la sheria za Tanzania hilo lije

Fuatilia posts za hii thread hasa ukurasa wa kwanza
 
Back
Top Bottom