Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Mimi namshusha 80 huku tunapasuana tu leo imebidi nitimbe kijiwe pale,Asante mkuu, hapo kumshinda tena ni weekend ijayo
Nikichukua mbinu za dalmax nikawapanga kadhaa ,pigia Sana kelele akaja mzee mmoja mkali Kama dalmax akaninyoosha Kisha akanambia
"inatakiwa ujifunze draft kabla ya kujifunza kupiga ngenga!!