radicals
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 4,411
- 6,473
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa vipi au tuwape muda tena???????????View attachment 1447538View attachment 1447539
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwaambia mimi mwenyewe najiogopa kwenye haya madanali, kamisaa lete maneno
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa mkuu, hujachelewesha! Ungenitangaza kesho, unataka vijana IFRS na wa ukae wasirudi kwenye huu uziIncredible!
Kwa sheria tulizojiwekea, ninaomba kutangaza kwamba mshindi wa shindano letu la Bingwa wa Draft JF ni radicals a.k.a KETE NGUMU.
Hongera sana mkuu, umedhihirisha umahili.
Record 40 seconds.
Hahahaaa mkuu, hujachelewesha! Ungenitangaza kesho, unataka vijana IFRS na wa ukae wasirudi kwenye huu uzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli aisee maana mie simuwez huyu dalmaxWakuu IFRS Radical hebu tumien screen recorder tuone jinsi mnavyomfunga huyu dalmax maana hadi sasa inaonekana nyie mmemfunga michezocmingi sana.. Mimi naambuliaga draw tu nimewahi kushinda mara mbili tu mechi zaidi ya 1000
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo mimi nitangazwe mshindi wa pili kwa sekunde 50Kwa sababu nishatangazwa na kamisaa,
Ili uzi uendelee natoa rai hasa kwa hawa vijana IFRS na wa ukae wapambane apatikane bingwa wa kumaliza draft huku akiwa amebaki na kete nyingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila hapana
Wa ukae unemtoa vipi akati naye alifungana na Radicals 47 seconds? Tena nakumbuka ye ndo aliweka record hiyo kabla ya Radicals ku revenge! Yote kwa yote nyie ni mabingwa aseeIla hapana
Sekunde 40 Radical
Sekunde 47 Radical
Sekunde 50 IFRS
Wa ukae hayupo tatu bora
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nidownload app ya sreen recorder then nitaiweka hapa, au nitakupmWakuu IFRS Radical hebu tumien screen recorder tuone jinsi mnavyomfunga huyu dalmax maana hadi sasa inaonekana nyie mmemfunga michezocmingi sana.. Mimi naambuliaga draw tu nimewahi kushinda mara mbili tu mechi zaidi ya 1000
Sent using Jamii Forums mobile app
Downloa kwenye playstore "checkers by dalmax" halafu kwenye settings weka Tanzanian rulesmuonekano wake upoje wakuu mbn mm silipati
Karibu, mimi mwenyewe nilivunja rekodi hizo saa 8 usiku baada ya kutingwa j2Hongera kijana nilibanwa na majukumu siku mbili hizi nilikuwa sijui nini kinaendelea
Sent using Jamii Forums mobile app