Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Mm nimeset mwenyewe ili kupata tz rules kunasehemu unaset tu
Send by APOLO 1
Yes, kwenye custom rules, ila sasa hivi liko straight la Tanzania Rules.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm nimeset mwenyewe ili kupata tz rules kunasehemu unaset tu
Send by APOLO 1
Ukiambiwa watu wanajua ujue wanajua kweli huwa hawaabahatishi namsubiri wakuivunja records hiyoView attachment 1445288View attachment 1445289
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimewahi kucheza na wachezaji wakubwa, mashindano ratiba huwa inanibana
Sent using Jamii Forums mobile app
Vunja rekodi iliyopo ubaoni, hizi mimi pia nimezpata sanaZa jumapili.hii sio record natest mitambo.
Dk 1 : 15View attachment 1445720View attachment 1445721
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah, kiasi fulani hili draught ni kiwangoNimempiga super Jana nimemjaribu nimeweka hard100% mech11 nimemfunga 7 moja nimempiga super kati ya hizo 7 moja droo l, kanifunga2 tu ila nimegundua ili draft inajua kucheza kuliko mengi ya computer niliyo cheza miaka 10 iliyopita
Send by APOLO 1
Thiat is impossible kumfunga super 7...labda useme less 7(yeye bila kwenda kingi) which rather seems impossible.Wacha kutudanganya ww!Nimempiga super Jana nimemjaribu nimeweka hard100% mech11 nimemfunga 7 moja nimempiga super kati ya hizo 7 moja droo l, kanifunga2 tu ila nimegundua ili draft inajua kucheza kuliko mengi ya computer niliyo cheza miaka 10 iliyopita
Send by APOLO 1
Jamaa muongo dalimax mgumu sanaThiat is impossible kumfunga super 7...labda useme less 7(yeye bila kwenda kingi) which rather seems impossible.Wacha kutudanganya ww!
True mm ninayapiga sana super haya madraft ya computer hata la. Kula nyuma na mbele nime mfunga super Ila jamaa ni bigwa anajua ukichezanae usisubutu kumtega Bali cheza kumbana na kumblockThiat is impossible kumfunga super 7...labda useme less 7(yeye bila kwenda kingi) which rather seems impossible.Wacha kutudanganya ww!
Tatizo unijui nimemfunga super 2 kwenye lile la kula mbele na nyuma ili la kawaida super1 aniwezi kabisa kucheza na mm
Shida yako una supported document.Tatizo unijui nimemfunga super 2 kwenye lile la kula mbele na nyuma ili la kawaida super1 aniwezi kabisa kucheza na mm
Send by APOLO 1
Wenzako wote wameweka screenshot game walizompiga tena kwa muda tofauti,Tatizo unijui nimemfunga super 2 kwenye lile la kula mbele na nyuma ili la kawaida super1 aniwezi kabisa kucheza na mm
Send by APOLO 1
Hii rahisi sana nakumbuka niliua level zote within a day ila huyu dalmax ushindi wangu ni sale mda wote nina resign au kuomba draw utasikia draw refused 🙌🙌🙌🙌🙌🙌😂😂😂😂😂Chezeni ya Russian acheni hizo nyepesi ukifika level niliyofika basi wewe umeivaView attachment 1446229
Sent using Jamii Forums mobile app