Hili draft la Dalmax la Google Play limenishinda aisee, hii app ina mchezo mkubwa sana

Ndugu admn naomba umshushe huyo mkuu IFRS kwanza, amekaa nafasi si yake. Sasa namchemshia dawa ya kujifukiza huyo wa ukae. Na atakaa kweli

Hapa nimefikia rekodi yake, tupo nae sambamba yaani bampa to bampa.

Nmeona liwezekanalo sasa hivi usiku lisingojewe asubuhi.......

Screenshot_20200510-015514.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukiwa tumebakiza masaa pungufu ya 20, mpambano unazidi kuwa mkali hapa, radicals karudi kwa kasi mpya huku akiwa na ari zaidi ya kurudi tena.

Msimamo mpya:

1. radicals: 47 seconds, wa ukae BIN KULIJUA: 47 seconds;
2. wa ukae BIN KULIJUA: 55 seconds; na
3. IFRS: 57 seconds.

Watazamaji na makamisaa wengine mliojaribu kupambana na Dalmax mtakubaliana na mimi kwamba huu mpambano siyo mwepesi.

Na mpaka hapa hawa viumbe wameonyesha ushindani wa hali ya juu sana.

Special mention kwa mtoto wa Profesa Jitu Kali Jitu la Mabao Mr Castr, huyu kajitahidi. Kama ni boxing anaingia kwenye mapambano ya ufunguzi.
 
Aisee vijana bado wabishi ngoja baadae niingie mtamboni ili niweke records mpya kamisaa angalia inatakiwa mtu atume screenshot. inayoonyesha yeye ni win sio inayoonyesha amemaliza draft kabla hajatangazwa mshindi au atakuwa amejitangaza kabla

Niko makini sana mkuu, na jopo la watazamaji linahakikisha pia hatuchakuliwi.

Mwisho wa mpambano ni leo.
 
Aisee vijana bado wabishi ngoja baadae niingie mtamboni ili niweke records mpya kamisaa angalia inatakiwa mtu atume screenshot. inayoonyesha yeye ni win sio inayoonyesha amemaliza draft kabla hajatangazwa mshindi au atakuwa amejitangaza kabla

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimaliza kete zote zikabaki za kwako pekee automatically wewe ni mshindi, hapo nadhani umenilenga mimi.

Simu yangu ina changamoto ya kuscreenshot kwa kutumia buttons za pembeni

Huwa nasreenshot kwa kufunika page, nikifunika page ule ujumbe wa the winner is radicals unapotea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee vijana bado wabishi ngoja baadae niingie mtamboni ili niweke records mpya kamisaa angalia inatakiwa mtu atume screenshot. inayoonyesha yeye ni win sio inayoonyesha amemaliza draft kabla hajatangazwa mshindi au atakuwa amejitangaza kabla

Sent using Jamii Forums mobile app
Muda ni ule ule mkuu, kete zikiisha dakika zinastop kusoma.

Hakuna hujuma yoyote hapa, ukiangalia hata wewe ulituma screenshots mbili ila muda ni ule ule sekunde 47, moja ilionesha the winner is......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingia google play tafta dalmax checkers, i-download hlf chagua Tanzanian rules, hlf kwenye difficulty uweke 100%

Kati ya michezo kumi ukiweza shinda atleast michezo sita tu, kila unapocheza nae, bhas ww utakuwa ni bingwa wa draft..
hivi kwann ukiskuma kete mbili tu draft linasimama huwezi sukuma kete nyingine
 
Tanzania Rules imewekwa hivi karibuni, jaribu kufanya update ya app inaweza kupata.

Maana mwenyewe baada ya kuona hii thread ndo nime update na kulipata la Bongo.
Mm nimeset mwenyewe ili kupata tz rules kunasehemu unaset tu

Send by APOLO 1
 
Back
Top Bottom