Hili draft la Dalmax la Google Play limenishinda aisee, hii app ina mchezo mkubwa sana

Hili draft la Dalmax la Google Play limenishinda aisee, hii app ina mchezo mkubwa sana

Tukiwa tumebakiza masaa pungufu ya 20, mpambano unazidi kuwa mkali hapa, radicals karudi kwa kasi mpya huku akiwa na ari zaidi ya kurudi tena.

Msimamo mpya:

1. radicals: 47 seconds, wa ukae BIN KULIJUA: 47 seconds;
2. wa ukae BIN KULIJUA: 55 seconds; na
3. IFRS: 57 seconds.

Watazamaji na makamisaa wengine mliojaribu kupambana na Dalmax mtakubaliana na mimi kwamba huu mpambano siyo mwepesi.

Na mpaka hapa hawa viumbe wameonyesha ushindani wa hali ya juu sana.

Special mention kwa mtoto wa Profesa Jitu Kali Jitu la Mabao Mr Castr, huyu kajitahidi. Kama ni boxing anaingia kwenye mapambano ya ufunguzi.
Jumuisha na hii
Screenshot_20200511-174313_Dalmax%20Checkers.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wa ukae na radicals muda umeongezwa kati yenu.

Wa kwanza kuleta record mpya ndiye mshindi wa moja kwa moja.
Asande ndugu kamisaa, rekodi mpya ningeiweka jana ila sikupata access ya muda.

Ila naahidi, hadi kesho jioni MTANIAPISHA kuwa mimi ni bingwa wa madanali JF , hata mtaani pia. Wananiita KETE NGUMU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asande ndugu kamisaa, rekodi mpya ningeiweka jana ila sikupata access ya muda.

Ila naahidi, hadi kesho jioni MTANIAPISHA kuwa mimi ni bingwa wa madanali JF , hata mtaani pia. Wananiita KETE NGUMU

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaha, tunaisubiri hiyo.

IFRS anaendelea kujifua, amefika 50 seconds.

Yeyote atakayepata chini ya 47 atatangazwa papo hapo.
 
Back
Top Bottom