Na mjuba hajulikani katika tasnia ya mabao nahisi.
Ama sisi tumekariri mabigwa wetu wa dar.
Wadau wanahisi ni Mkenya, ila mpaka sasa hajulikani.
Wenyewe wanalalamika jamaa hana copy, anaingia miguu mibovu na anakufunga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mjuba hajulikani katika tasnia ya mabao nahisi.
Ama sisi tumekariri mabigwa wetu wa dar.
Atakuwa mbadi sana.Wadau wanahisi ni Mkenya, ila mpaka sasa hajulikani.
Wenyewe wanalalamika jamaa hana copy, anaingia miguu mibovu na anakufunga.
Atakuwa mbadi sana.
Nilikuwa kijiwe cha kibo nagonga draft nikamsikia jamaa anaadisia ishu za mkulima na huku nimekutana nazo.
Cjajua jamaaa jajulikani ila anapiga draft yaan anapenda mabao magumu tu, sare ngumu ndio anazo zipendaNa mjuba hajulikani katika tasnia ya mabao nahisi.
Ama sisi tumekariri mabigwa wetu wa dar.
Jamaaa ni sheeda yaan hachezi copy ni Kama vile anakusoma kete itakayofuata kucheza, Ronaldo alipigwa vibaya Sana. Halafu Kuna game alimwambia Ana funga na ataanzia meja na alimfunga kweliWadau wanahisi ni Mkenya, ila mpaka sasa hajulikani.
Wenyewe wanalalamika jamaa hana copy, anaingia miguu mibovu na anakufunga.
Watu wanahic no mangweleleHivi huyu mkulima atakuwa Ni Nani?
Watu wanahic no mangwelele
Jamaa simchek online mara nying naingia kule.Siyo Mangwezi Mkuu.
Kuna siku nilikuwa kijiwe ambacho Mangwezi yuko na Mkulima akawa online anacheza. Hapo nilithibitisha kwamba jamaa siye.
Huyo mwamba ni hatari.Jamaaa ni sheeda yaan hachezi copy ni Kama vile anakusoma kete itakayofuata kucheza, Ronaldo alipigwa vibaya Sana. Halafu Kuna game alimwambia Ana funga na ataanzia meja na alimfunga kweli
Jmaaa hajulikani lkn ni noma Sana,na alidai anamtaka mangweleleSiyo Mangwezi Mkuu.
Kuna siku nilikuwa kijiwe ambacho Mangwezi yuko na Mkulima akawa online anacheza. Hapo nilithibitisha kwamba jamaa siye.
Saiv hachezi sanaJamaa simchek online mara nying naingia kule.
Jamaa anaipigwa mwingi mno, Ana kete ngumu sanaHuyo mwamba ni hatari.
Jamaa simchek online mara nying naingia kule.
Jmaaa hajulikani lkn ni noma Sana,na alidai anamtaka mangwelele
Mangwelele anaogopa kuharibu legacyMangwelele hataki kucheza naye naona, maana hata ID yake wadau hawaijui pia.
Mangwelele anaogopa kuharibu legacy
Dalmax siku hizi kaishiwa uwezo, yaani unajipigia tu
Dalmax akijitahidi kwangu sare tu ,hajawai nifunga kbsa ..Ingia google play tafta dalmax checkers, i-download hlf chagua Tanzanian rules, hlf kwenye difficulty uweke 100%
Kati ya michezo kumi ukiweza shinda atleast michezo sita tu, kila unapocheza nae, bhas ww utakuwa ni bingwa wa draft.