Hili draft la Dalmax la Google Play limenishinda aisee, hii app ina mchezo mkubwa sana

Wadau wanahisi ni Mkenya, ila mpaka sasa hajulikani.

Wenyewe wanalalamika jamaa hana copy, anaingia miguu mibovu na anakufunga.
Jamaaa ni sheeda yaan hachezi copy ni Kama vile anakusoma kete itakayofuata kucheza, Ronaldo alipigwa vibaya Sana. Halafu Kuna game alimwambia Ana funga na ataanzia meja na alimfunga kweli
 
Siyo Mangwezi Mkuu.

Kuna siku nilikuwa kijiwe ambacho Mangwezi yuko na Mkulima akawa online anacheza. Hapo nilithibitisha kwamba jamaa siye.
Jmaaa hajulikani lkn ni noma Sana,na alidai anamtaka mangwelele
 
Ingia google play tafta dalmax checkers, i-download hlf chagua Tanzanian rules, hlf kwenye difficulty uweke 100%

Kati ya michezo kumi ukiweza shinda atleast michezo sita tu, kila unapocheza nae, bhas ww utakuwa ni bingwa wa draft.
Dalmax akijitahidi kwangu sare tu ,hajawai nifunga kbsa ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…