Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Wadau wa draft hapa jf Leo nimeweka record mbili
1.nimemfunga kwa muda wa dakika 1 na sekunde 26
2.nimetumia Muda mdogo kuliko game
Mimi ni dk 1:26
Game ni dk 1:80.
Kwa record hii mimi ndie bingwa wa draft hapa JFView attachment 1442632
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja niidownload, nawaletea mrejesho mimi bingwa wa mabingwa mbele ya mabingwaWanajf naomba yeyote avunje kati ya records hizi tatuView attachment 1442650View attachment 1442651View attachment 1442653
Sent using Jamii Forums mobile app
Unachosema ni kweli kumbe yeye ndio amecheza muda mdogo.Record ya pili siyo sahihi
Game ni dk 1:80 (Hii ni 1:8 ambayo ni dakika 1 na sekunde 8 na si sekunde 80).
All in all, unatisha.
Unachosema ni kweli kumbe yeye ndio amecheza muda mdogo.
Ila hili hapa chini mimi ndio nimecheza muda mdogo View attachment 1442693
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawaletea rekodi mpya, nishaidownload, huyu dalmax mbona anakaa tuHakuna wa kuvunja hizo record mkuu, ngoja tusubiri.
Tutaweza muda rasmi ikishindikana uchukue ubingwa.
Nawaletea rekodi mpya, nishaidownload, huyu dalmax mbona anakaa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakikisha unaset 100%Nawaletea rekodi mpya, nishaidownload, huyu dalmax mbona anakaa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyu jamaa hatanisahau.
Hahahaaaaa, sijala za uso,jamaa anatoa draw huyo, ila namkamata muda si mrefuradicals atakuwa yuko anakula za uso saa hizi. Maana kasema unaleta mrejesho fasta. Naona kimya.
Hahahaaaaa, sijala za uso,jamaa anatoa draw huyo, ila namkamata muda si mrefu
Najua hata nyinyi hamjamkamata gemu za mwanzo, mtakuwa mmekula sana za uso
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunasubiri screenshot, kwangu mimi bingwa ni IFRSNgoja niidownload, nawaletea mrejesho mimi bingwa wa mabingwa mbele ya mabingwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bingwa ni mimi, sijapigwa hata gemu moja, kuleta draw ni aibu kubwa sana kwangu. Nimempiga kwa 3 mpya.Tunasubiri screenshot, kwangu mimi bingwa ni IFRS