Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Wadau wa draft hapa jf Leo nimeweka record mbili
1.nimemfunga kwa muda wa dakika 1 na sekunde 26
2.nimetumia Muda mdogo kuliko game
Mimi ni dk 1:26
Game ni dk 1:80.
Kwa record hii mimi ndie bingwa wa draft hapa JFView attachment 1442632
Sent using Jamii Forums mobile app
Record ya pili siyo sahihi
Game ni dk 1:80 (Hii ni 1:8 ambayo ni dakika 1 na sekunde 8 na si sekunde 80).
All in all, unatisha.