hili F langu la math linanitia wasiwasi

Sheko

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
280
Reaction score
26
wakuu nina f la math lakini nina bios c chem c phy d na engl d niliapply wizara ya afya diploma ya clinical Officer.vp wakuu Hilo f litanigharimu katika selection maana niliapply dit labaratory technology Wamenirosa
 
hapana alitakuathiri,ila kumbuka na form6 pia wanaapply,so kuna competion kupata nafasi

nazani ata iyo diploma ya lab umekosa sababu ya competion kuwa kubwa,ningekushauli uapply certificate ya lab.

au kwa nini usiende form 5 naona pcb imekaa kiasi fulan vizuri
 
Mkuu nina credit hizo tu za bio na chem so advan siwezi kwenda
 
Mkuu Sheko we si ulisema ni mtoto wako ndio kapata matokeo hayo kumbe ulikuwa ni wewe.

BTW: Sidhan kama hyo F ya Math kama itakuathiri kivile jaribu kuapply vyuo mbalimbali huenda ukapata.
 
Last edited by a moderator:
sijui kwann watu hawajui criterion za selection kwenye vyuo.
iko hivi mdogo wangu hakuna chuo chochote cha serikali ambacho kama mtu umetoka form 4 wanakupa dip hapo lazima upite cheti kwanza ndipo uje dip. kumbuka ukiwa A-level ndio unaweza kupata dip ama adv dip kwa elimu ya sasa. miaka tuliyosoma wengine ilikuwa possible ila kwa miaka ya sasa system hii waliiua kimya kimya.
 
Mkuu katika wizara ya afya wameandika katika fomu zoo kwamba kozi za stashahada muombaji awe na d katika phy,c katika biologia na c katika kemia
 
wakuu nina f la math lakini nina bios c chem c phy d na engl d niliapply wizara ya afya diploma ya clinical Officer.vp wakuu Hilo f litanigharimu katika selection maana niliapply dit labaratory technology Wamenirosa

mbona mm nmeckia kwmba hta wenye 4 ya 26 kuna badhi yao wamechaguliwa xo kama vp kafatilie huenda umechaguliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…