Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakuu nina f la math lakini nina bios c chem c phy d na engl d niliapply wizara ya afya diploma ya clinical Officer.vp wakuu Hilo f litanigharimu katika selection maana niliapply dit labaratory technology Wamenirosa
Mkuu nina credit hizo tu za bio na chem so advan siwezi kwendahapana alitakuathiri,ila kumbuka na form6 pia wanaapply,so kuna competion kupata nafasi
nazani ata iyo diploma ya lab umekosa sababu ya competion kuwa kubwa,ningekushauli uapply certificate ya lab.
au kwa nini usiende form 5 naona pcb imekaa kiasi fulan vizuri
Mkuu katika wizara ya afya wameandika katika fomu zoo kwamba kozi za stashahada muombaji awe na d katika phy,c katika biologia na c katika kemiasijui kwann watu hawajui criterion za selection kwenye vyuo.
iko hivi mdogo wangu hakuna chuo chochote cha serikali ambacho kama mtu umetoka form 4 wanakupa dip hapo lazima upite cheti kwanza ndipo uje dip. kumbuka ukiwa A-level ndio unaweza kupata dip ama adv dip kwa elimu ya sasa. miaka tuliyosoma wengine ilikuwa possible ila kwa miaka ya sasa system hii waliiua kimya kimya.
wakuu nina f la math lakini nina bios c chem c phy d na engl d niliapply wizara ya afya diploma ya clinical Officer.vp wakuu Hilo f litanigharimu katika selection maana niliapply dit labaratory technology Wamenirosa
Mhhh! Kweli mkuu cbgmbona mm nmeckia kwmba hta wenye 4 ya 26 kuna badhi yao wamechaguliwa xo kama vp kafatilie huenda umechaguliwa