Hili gari linanifilisi

Hili gari linanifilisi

Ungetoa maelezo zaidi. Ila nahisi kuna shida katika exhaust system. Nadhani kuna leakage.

Itategemeana na leakage ipo wapi, ila inaweza sababisha fuel consumption iwe kubwa, sometimes moshi uingie ndani ya gari.

Ipeleke kwa fundi acheki iyo system

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom