Hili gazeti la udaku limetisha,diamond,zari,wema ni shida

Zeddicus Zu'l Zorander

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
804
Reaction score
951
Magazeti ya udaku na stori za kuuza magazeti,leo timu zetu pendwa zote zimepewa za uso hakuna wa kumcheka mwenzake.
1464791610547.jpg
 
Wabongo bwanaa, yani Babu akitembea na binti siyo tatizo..
Lakini sisi vijana tukitembea na ajuza tatizo..!!

Na ukitembea na rika lako ambaye ni mwanafunzi unapewa kesi ya ubakaji..

Mbona mnatuonea sana sisi vijana? Kwani sisi ndo hatutaki kubadilisha ladha?
Eboooooo!!
 
Haaaahh itabidi tuendelee kuipigia chapuo ile kauli mbiu ya 50:50...
 
Wabongo bwanaa, yani Babu akitembea na binti siyo tatizo..
Lakini sisi vijana tukitembea na ajuza tatizo..!!

Na ukitembea na rika lako ambaye ni mwanafunzi unapewa kesi ya ubakaji..

Mbona mnatuonea sana sisi vijana? Kwani sisi ndo hatutaki kubadilisha ladha?
Eboooooo!!
Mkuu tuungane kupigania haki za wanaume teh teh!
 
Wabongo bwanaa, yani Babu akitembea na binti siyo tatizo..
Lakini sisi vijana tukitembea na ajuza tatizo..!!

Na ukitembea na rika lako ambaye ni mwanafunzi unapewa kesi ya ubakaji..

Mbona mnatuonea sana sisi vijana? Kwani sisi ndo hatutaki kubadilisha ladha?
Eboooooo!!
Ndio maana na uzee wote huu navibabua tuu tena kinomanoma
Magazeti ya udaku na stori za kuuza magazeti,leo timu zetu pendwa zote zimepewa za uso hakuna wa kumcheka mwenzake.View attachment 352728
 
Wabongo bwanaa, yani Babu akitembea na binti siyo tatizo..
Lakini sisi vijana tukitembea na ajuza tatizo..!!

Na ukitembea na rika lako ambaye ni mwanafunzi unapewa kesi ya ubakaji..

Mbona mnatuonea sana sisi vijana? Kwani sisi ndo hatutaki kubadilisha ladha?
Eboooooo!!
hahaaaa, ukitembea na kijana umebaka, ukifuata watu wazima nayo ni issue, nashindwa kuelewa
 
kubemenda hakutakiwi hati!! lakini acha watest mayai yao kama yanafanya kazi , maana wanataka shoo kali ambazo sio za kitoto
 
hahaaaa, ukitembea na kijana umebaka, ukifuata watu wazima nayo ni issue, nashindwa kuelewa
Ukiamua kuachana nao na ukuamua kupiga Nyeto unaambiwa ina madhara, sasa sisi vijana tutaponea wapi?
[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]
 
Ila WCB inaonekana wanapenda sana huu mchezo, ngoja tusubiri yule dogo mpya ye ataibuka na nani...
 
Ndio tatizo la akili za kiafrika, zee la 50 - 70+ kutembea na vibinti vya miaka 15 sawa na jamii haishangai,lakini wakiume kupitwa na binti 3-10 kesi.
Hata jogoo hatembei na vifaranga
 
Back
Top Bottom