Hili gazeti la udaku limetisha,diamond,zari,wema ni shida

Hili gazeti la udaku limetisha,diamond,zari,wema ni shida

Khakhakhaaaaaa kaaazi kwelikweli!
 

Attachments

  • 1464924683987.jpg
    1464924683987.jpg
    89.7 KB · Views: 100
Naona Kila MTU analea wa kwake. Sema hiyo jeki ya wolper ni balaa
 
Amemsahau Kajala na Quick Racka, hivi yule Kajala si mbibi kabisa? Maana nachoona yule mtoto wa Kajala ndo analingana na Kwiki Raka
 
Ali King naye aliwahi kubemendwa na Madam Biesi esi, so hayo mambo hayajaanza Leo, ila tusiangalie upande mmoja tu, vipi kuhusu Mr. Mee-ngi na yule miss? Na Eliza je vs marehem kwaya masta?
 
Ukisikia Bongo fleva inalipa ndio hiyo
 
Ukisikia Bongo fleva inalipa ndio hiyo
hailipi kiivyo..hiyo mijimama imewapendea hao watoto kwa umaarufu, wanajua shughuli panapo 6*6, ni rahisi kuwa-control na kwenda nao club kujirusha..tofauti na majibaba hayajui shughuli, mengi yana misimamo na yameoa so ni vigumu kuyamiliki, mababa mengi hayapendi kwenda viwanja na siyo maarufu mjini hapa.. vivah majimamama wapeni hizo nyapu zenu kongwe vijana..
 
Back
Top Bottom