Hili genge ni hatari kwa Watanzania

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Watanzania tuwe makini na hawa watu wanaojinadi kama chama kinachotetea maslahi ya watanzania.

Chama hiki kimepoteza muelekeo na waliopo wanafanya kazi ya kulinda maslahi yao binafsi.

Tumesikia huko Ghana upinzani wamechukua madaraka sijui hapa kwetu tunasubiri nini!
 
Tanzania tunasubiri muda tu ufike 2025 tumtoe huyu mharibifu wa Nchi yetu toka tupate uhuru.Tutamtoa kwenye sanduku la kura na akileta mbinu zake chafu tunamuondoa Kwa nguvu kama alivyoondolewa Kwa nguvu bashal Assad huko syria
 
Chama chawala kimekwisha kwisha kabisa
 
Wewe mchango wako ni upi?:
 
Anzisheni chama kipya ila sio vyama vilivyopo.
 
Bahati mbaya hata wapinzani wapo kwa maslahi ya matumbo yao na vimada wao!
Tunahitaji kundi la waasi kama M16 tu
 
Anzisheni chama kipya ila sio vyama vilivyopo.
Watanzania mpo nyuma sana kiakili na hamuelewi maana ya upinzani wenye nguvu. Huko mnapokwenda kuomba fedha kila siku wanabadilishana madaraka angalia Trump ameondoka kidemokrasia na anarudi kidemokrasia.
 
Akuna kinachodumu daima
 
Tunaishi kwenye jamii ya kanyaga twende jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi, ambayo husafishwa ubongo, (a society that can be brainwashed)

Jamii ambayo wanaopewa dhamana wanatumia unyumbu wa kisiasa .
Unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi, (unafiki), tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo a.k.a kujizima data, kwasasa uchawa
 
 
Tanzania tunasubiri muda tu ufike 2025 tumtoe huyu mharibifu wa Nchi yetu toka tupate uhuru.Tutamtoa kwenye sanduku la kura na akileta mbinu zake chafu tunamuondoa Kwa nguvu kama alivyoondolewa Kwa nguvu bashal Assad huko syria
Hahahaaaa!
Akili za nyumbu wa mbowe bwana, zinashangaza sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…