SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Hii post nimetaka kuileta muda kidogo ila naamuaga kupotezea ila leo nimelazimika kuileta. Kuna hili goli sijui ndiyo la kaskazini, kila derby at least za hivi karibuni lazima mpira ugonge mwamba na tena mpira unagonga karibu eneo lile lile.
Nikikumbuka hivi karibuni:
1. Penati ya Mukwala iligonga ule mwamba (Simba Day)
2. Kick ya Boka iligonga mwamba wa goli hilo hilo (Yanga Day)
3. Shuti la Prince Dube kwenye ngao ya jamii liligonga ule mwamba
4. Leo, shuti la Aziz Ki limegonga ule mwamba
Ongezea matukio mengine unayokumbuka.