Nakazia 📌Tunataka mashabiki wa mbumbumbu
Muwe mnaleta nyuzi za machozi kama hivi
Goli la leo limemgonga mwamba, (goal keeper)Hii post nimetaka kuileta muda kidogo ila naamuaga kupotezea ila leo nimelazimika kuileta. Kuna hili goli sijui ndiyo la kaskazini, kila derby at least za hivi karibuni lazima mpira ugonge mwamba na tena mpira unagonga karibu eneo lile lile.
Nikikumbuka hivi karibuni:
1. Penati ya Mukwala iligonga ule mwamba (nafikiri ilikuwa Simba Day)
2. Shuti la Prince Dube kwenye ngao ya jamii liligonga ule mwamba
3. Leo, shuti la Aziz Ki limegonga ule mwamba
Ongezea matukio mengine unayokumbuka.
Kuna hili goli sijui ndiyo la kaskazini
Basi futa machoziMatokeo ya leo wala siyawazii, sijui kwa nini
Huo ni Mpira usiwaze uchawi hapoHii post nimetaka kuileta muda kidogo ila naamuaga kupotezea ila leo nimelazimika kuileta. Kuna hili goli sijui ndiyo la kaskazini, kila derby at least za hivi karibuni lazima mpira ugonge mwamba na tena mpira unagonga karibu eneo lile lile.
Nikikumbuka hivi karibuni:
1. Penati ya Mukwala iligonga ule mwamba (nafikiri ilikuwa Simba Day)
2. Shuti la Prince Dube kwenye ngao ya jamii liligonga ule mwamba
3. Leo, shuti la Aziz Ki limegonga ule mwamba
Ongezea matukio mengine unayokumbuka.
Kichapo waaapiNyuzi za kujifariji hizi baada ya kichapo.
Umepita stages zote za grief, sasa umekubaliana na hali.Matokeo ya leo wala siyawazii, sijui kwa nini
Basi futa machozi
Acha kulia
Nyuzi za kujifariji hizi baada ya kichapo.
Kutoka kushinda 5 za mchongo hadi kushinda kagoli kamoja ka papatu papatu na ka kujifunga tena dakika za mwisho za mchezo.Umepita stages zote za grief, sasa umekubaliana na hali.
Subiri kukuche utaanza kusikia maumivu yake. Na itakuuma kwa muda mrefu mnoooo 😀😀😀Matokeo ya leo wala siyawazii, sijui kwa nini
Futa basi machozi yatakwishaKutoka kushinda 5 za mchongo hadi kushinda kagoli kamoja ka papatu papatu na ka kujifunga tena dakika za mwisho za mchezo.
Uongozi unipe wachezaji wawili tu wa viwango halafu waniachie timu mimi kama mtanifunga.
Mtaendelea kugongwa mpaka akili ziwakae sawa kama akili zenyewe ndio hizi, wenzako wanacheza mechi kimbinu na kiufundi wewe unabaki na mawazo ya kimaskini ya Kuna siku nitatajirika bila kufanya kazi🤣🤣Kutoka kushinda 5 za mchongo hadi kushinda kagoli kamoja ka papatu papatu na ka kujifunga tena dakika za mwisho za mchezo.
Uongozi unipe wachezaji wawili tu wa viwango halafu waniachie timu mimi kama mtanifunga.
Naunga mkono hoja🤣🤣🤣Tunataka mashabiki wa mbumbumbu
Muwe mnaleta nyuzi za machozi kama hivi