Mundamushimu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 754
- 432
Nina group la damu AB yaani kwa mwezi lazima niugue homa na malaria kuu sina raha ya kuishi duniani. Nimepima magonjwa yote yasiyo na tiba sina. Wataalam nisaidieni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hisia zangu ni kuwa labda group hili halina uwezo wa kukabiliana na maradhi.Blood group halihusiani na kuugua kwako
Kwa ni ni usingeomba ushauri kwa huyo dk aliyekupima kabla ya kuja huku?Ushauri tafadhari
Kwani ukisema AB+ utapungukiwa na nini?Dr. Aliyenipima ndiye aliyebainisha uwepo wa blood group A+B ya damu kwenye mwili wangu
Nimepima HIV na magonjwa mengine yasiyotibika sinaGroup halina uhusiano na na magonjwa labda ungesema transfussion. Hata hivyo AB ni univesal recepient, ni zuri sana maa unapokea dam ya group lolote. Immunity ipo low, ijtahidi kula balanced diet na mazingira masafi maana magonjwa mengi yanasababishwa na bacteria, epuka mbu na mwisho check for HIV.
Una malaria sugu wewe,ndio maana ukitumia dawa mseto haikusaidii, jaribu kumeza quinene tablets 2*3 kwa siku 7.Nina group la damu A+B yaani kwa mwezi lazima niugue homa na malaria kuu sina raha ya kuishi duniani. Nimepima magonjwa yote yasiyo na tiba sina. Wataalam nisaidieni.
Asante kwa ushauriMwambie doctor akuandikie dawa zingine zitakaomaliza hiyo malaria mpaka kwenye ini.
Unapoishi puliza dawa ya wadudu mbu wafe.Tumia neti yenye dawa.
Funga milango na madirisha sanasana asubuhi sana na jioni.
Kama unakaa nje sana hususani muda wa usiku paka mosquito reppelent.
Ni vitu vidogodogo tu tunavyoambiwa kila siku tuzingatie usitafute sababu ngumu hiyo ni kazi ya daktari.
Kama umehamia mji mpya kama pwani dar yani maeneo ya joto kuugua hivyo malaria sio ajabu kwa hiyo zingatia kujikinga.
Mazingira ninayoishi yako vizuriNadhani sabab ni mazingira unayoish kuna vijidudu vingi au immunity system yako ipo low,jarib kumentain usafi na vyakura vinavyoongeza kinga mwilin eg matunda ,tangawiz ,mdarasin ,limao,machungwa,n.k