Hili group la damu linanitesa sana, naomba ushauri

Hili group la damu linanitesa sana, naomba ushauri

Wanaokucheka wewe kuandiika A+B waignore tu.. tena wajicheke kabisaaaa

Wao hawajui kufikiria nje ya box.. yaani wanapenda mtelemko.. hata kama umeikosea inavyoandika ni umeeleweka vizuri tu.. mjuaji mtambuaji aliye smart hawezi kukubeza.. bora hata wangeuliza kama ina +ve au -ve.

Umeweza kujua blood group yako AB.. wengi hawajui zao hata kwa bakora.

Pole na kuugua.. nitapenda kuisoma pia
 
Kuna group la damu A+B.....??
Itakua kama sayari mpyq....hahaha
 
Sidhani kama kweli damu group AB ndo inasabisha magonjwa. Mimi Nina group AB la damu malaria huwa nasikia tu kwa watu nimewah kukaa miaka 6 sijatumia dawa wala malaria sijaumwa .

Kula chakula Bora kinachoenda kujenga mwili, mwili wako utakuwa Active kupambana na magonjwa. Siyo asubuhi unaanza kula chapati, maandaz, mkate. Unaanza siku Asubuhi na mboga za majani pembeni kuna mayai kienyeji unajuwa unaongeza vitamins gani.
Hiyo Chai yako na chapati unaongeza nini wakati mwili wako hata usipoupa chakula cha wanga, mwili unaweza kujitengenezea wanga wenyewe.
Asante kwa ushauri
 
Wanaokucheka wewe kuandiika A+B waignore tu.. tena wajicheke kabisaaaa

Wao hawajui kufikiria nje ya box.. yaani wanapenda mtelemko.. hata kama umeikosea inavyoandika ni umeeleweka vizuri tu.. mjuaji mtambuaji aliye smart hawezi kukubeza.. bora hata wangeuliza kama ina +ve au -ve.

Umeweza kujua blood group yako AB.. wengi hawajui zao hata kwa bakora.

Pole na kuugua.. nitapenda kuisoma pia
Asante sana mi nawaona tu, hawajapima hata vvu
 
Nina group la damu A+B yaani kwa mwezi lazima niugue homa na malaria kuu sina raha ya kuishi duniani. Nimepima magonjwa yote yasiyo na tiba sina. Wataalam nisaidieni.
Mbona na mimi nina AB+? Sina shida hiyo?
 
Mtu unaweza kufa Kwa hofu kumbe hata huumwi. Kunywa maji ya uvuguvugu lita tatu kabla ya saa sita mchana. Ukiweza weka huko hata kijiko kimoja cha asali ya nyuki wadogo.

Acha dawa zote Kwa muda kwanza.
 
Badili blood group kama AB+ inakusumbua,chukua blood group D+ huwa kali sana. Na Zuri sana kwa maisha ya hapa na pale. Litakufaa
 
Hali hiyo ikiendelea kinga yako itadhoofu na mwisho utapima utakuta HIV +
Jaribu kukaa mbali na viatarishi vya magonjwa ,kama mbu ,bacteria tofauti,kula vizuri,maji mengi pia jaribu angalau kupiga pushup hata 30 kwa siku
 
Nina group kama la mleta mada kuna kipindi nilkuwa kama yeye kuumwaumwa ovyo nikaenda kupima.hadi ngoma but sikukutwa nayo .

Nilichokuja kugundua ni mentality yangu ndio inayo affect afya yangu yote .

Kuna siku nilikuwa nahisi naumwa nikaenda hospitali kupimwa nikakutwa sina malaria wala ugonjwa wowote nikasema ngoja nitulie nione mwisho wake after three days nikawa fit tu nikagundua sometime saikolojia inahusika.

Mkuu wewe haumwi tulia kwanza usijizoeshe dawa.
 
Mm nina blood group AB+ lakini naweza vuta ata miaka mi5 bila malaria , na sikuwahi kuumwa serious toka nazaliwa...kwa mara ya kwanza naijua drip na nalazwa hospitali ni baada kupata pregnant...nafikiri blood group haihusiani na maradhi mkuu
 
Nina group la damu A+B yaani kwa mwezi lazima niugue homa na malaria kuu sina raha ya kuishi duniani. Nimepima magonjwa yote yasiyo na tiba sina. Wataalam nisaidieni.
Mimi nina the same blood group ila kwa Alhamdulillah yaani mara ya mwisho kupata malaria ni darasa la 6 , more than 15 yrs ago na hata niumwe na mmbu kwa kiasi gan siumwi
 
Hali hiyo ikiendelea kinga yako itadhoofu na mwisho utapima utakuta HIV +
Jaribu kukaa mbali na viatarishi vya magonjwa ,kama mbu ,bacteria tofauti,kula vizuri,maji mengi pia jaribu angalau kupiga pushup hata 30 kwa siku
Asante kwa ushauri
 
Mtu unaweza kufa Kwa hofu kumbe hata huumwi. Kunywa maji ya uvuguvugu lita tatu kabla ya saa sita mchana. Ukiweza weka huko hata kijiko kimoja cha asali ya nyuki wadogo.

Acha dawa zote Kwa muda kwanza.
Asante kwa ushauri mzuri
 
Back
Top Bottom