cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Hiyo sijawahi ugua si ningekuwa marehemuVipi homa ya dengue uliugua??
Asante kwa ushauriSidhani kama kweli damu group AB ndo inasabisha magonjwa. Mimi Nina group AB la damu malaria huwa nasikia tu kwa watu nimewah kukaa miaka 6 sijatumia dawa wala malaria sijaumwa .
Kula chakula Bora kinachoenda kujenga mwili, mwili wako utakuwa Active kupambana na magonjwa. Siyo asubuhi unaanza kula chapati, maandaz, mkate. Unaanza siku Asubuhi na mboga za majani pembeni kuna mayai kienyeji unajuwa unaongeza vitamins gani.
Hiyo Chai yako na chapati unaongeza nini wakati mwili wako hata usipoupa chakula cha wanga, mwili unaweza kujitengenezea wanga wenyewe.
Asante sana mi nawaona tu, hawajapima hata vvuWanaokucheka wewe kuandiika A+B waignore tu.. tena wajicheke kabisaaaa
Wao hawajui kufikiria nje ya box.. yaani wanapenda mtelemko.. hata kama umeikosea inavyoandika ni umeeleweka vizuri tu.. mjuaji mtambuaji aliye smart hawezi kukubeza.. bora hata wangeuliza kama ina +ve au -ve.
Umeweza kujua blood group yako AB.. wengi hawajui zao hata kwa bakora.
Pole na kuugua.. nitapenda kuisoma pia
Mbona na mimi nina AB+? Sina shida hiyo?Nina group la damu A+B yaani kwa mwezi lazima niugue homa na malaria kuu sina raha ya kuishi duniani. Nimepima magonjwa yote yasiyo na tiba sina. Wataalam nisaidieni.
Sasa A+B=ABDr. Aliyenipima ndiye aliyebainisha uwepo wa blood group A+B ya damu kwenye mwili wangu
Labda unamaanisha AB+Dr. Aliyenipima ndiye aliyebainisha uwepo wa blood group A+B ya damu kwenye mwili wangu
Dr. Aliyenipima ndiye aliyebainisha uwepo wa blood group A+B ya damu kwenye mwili wangu
Tangu nizaliwe sijawahi kusikia group hili la damu... A+B???
Hebu kacheki isije ikawa walichukua sample ya damu ya kuku....
Sky Eclat hebu ukuje unisaidie huku...
Mimi nina the same blood group ila kwa Alhamdulillah yaani mara ya mwisho kupata malaria ni darasa la 6 , more than 15 yrs ago na hata niumwe na mmbu kwa kiasi gan siumwiNina group la damu A+B yaani kwa mwezi lazima niugue homa na malaria kuu sina raha ya kuishi duniani. Nimepima magonjwa yote yasiyo na tiba sina. Wataalam nisaidieni.
Asante kwa ushauriHali hiyo ikiendelea kinga yako itadhoofu na mwisho utapima utakuta HIV +
Jaribu kukaa mbali na viatarishi vya magonjwa ,kama mbu ,bacteria tofauti,kula vizuri,maji mengi pia jaribu angalau kupiga pushup hata 30 kwa siku
Asante kwa ushauri mzuriMtu unaweza kufa Kwa hofu kumbe hata huumwi. Kunywa maji ya uvuguvugu lita tatu kabla ya saa sita mchana. Ukiweza weka huko hata kijiko kimoja cha asali ya nyuki wadogo.
Acha dawa zote Kwa muda kwanza.