Hili halikubaliki ni kama ubaguzi kwenye timu kama Simba

Hili halikubaliki ni kama ubaguzi kwenye timu kama Simba

Mkuu sisi hatuhitaji huo msaada wa kinafiki na wa kisiasa,, sisi twende kimyakimya kama underdogs mana tunajua tunaenda kukamilisha ratiba tu ya mechi ili turudi tuendelee na ligi kuu.
 
Hii principle haipo hivi, wapo ambao pia walipata furaha Kwa mpira wa Simba ilihali walifungwa goal 1 halafu utambue kua Simba hajatolewa kwenye Mashindano ule ni mpira na bado haujaisha angekuwa amefungwa goal 2 sawa ila 1 bado nafasi anayo kubwa tu...
Investment unaofanya sehemu inayolipa boss.

[emoji843] Moja wapo ya kazi ya serikali ni kuwaletea wananchi wake furaha.

[emoji843] Hii ni principle halali kabisa iliyotungwa na MWANA Philadelphia JEREMY BENTHAM katika principle yake ya UTILITARIANISM.

[emoji843]Alisema " jambo lolote linaloleta furaha liungwe mkono na liendelezwe na jambo linaloleta huzuni lifutiliwe mbali.

[emoji843] Ukifuatlilia wiki nzima ya mechi ya YANGA nchi nzima ilikuwa na furaha, kile kitendo Cha watu kusafiri kutoka Kila Kona ya Tanzania na nje ya nchi kilileta maximum pleasure kwa wananchi na serikali ilifikia malengo yake. Utaona kuwa japo kuwa walivunja mageti lakini hakuna kilichotokea kwa sababu walikuwa wanaofuata furaha ilipo. Hapo serikali iliona kama mtoto kafurahi na kuvunja chupa kwa bahati mbaya. Mama atanunua nyingine

[emoji843]. Sasa Simba inaleta huzuni, kwa mashabiki na wananchi serikali itawasapoti kweli? Sasa timu inachafua Hali ya hewa Kila wakati halafu inalialia kuomba usafiri wa ndege wakati wazee wa UTILITY wanasafiri kwa mabasi?
 
Yanga wenyewe wameomba shida iko wapi?
Ndiyo maana sijawahi kuwadharau Simba kwa ujumla sababu najua wenye akili mpo wengi tu.
Binafsi sina shida na Yanga kuomba msaada serikalini. Shida Yangu ni huo msaada wa hadi kulipa posho mashabiki. Ingekuwa ni wachezaji hapo sawa. Ila kwa jinsi baadhi ya wanasimba wanavyolipinga, hapo ndiyo sikubaliani nao.
 
Simba wataitia Serikali hasara mara mbili, kwenye kurudi Simba Wengi watasafirishwa kwa ushirikiano wa Serikali ya SA na TZ.
If you know what I mean.
 
Back
Top Bottom