Hili heche sio sawa kumvunjia heshima Mbowe

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Ktk X account yake ameandika karibu chairman katika picha hii.
Hii ni utovu wa nidhamu mkubwa ktk siasa
Sasa Mbowe utamwita nani? Wakati yeye ndio chairman?
Chama chenye dola kama CCM unaweza kuandika hivi?

Ushauri
Mitandao ya kijaamii yasikuvimbishe kichwa, utapotea ktk siasa za upinzani mpaka ujiulize?

Yuko wapi Antony Komu?

 
CCM mna kimbelembele utadhani Chadema nako mnauongozi wenu

Si mtulie na ccm yenu?
 
MKUU tupe hata kama dakika kumi kumi tu zitatosha kusoma na kuchangia threads zako. Maana naona leo unakazi moja tu kutupia double threads za CDM. Samahani lakini.
 
Yaani Unataka Kutuaminisha Ya Kuwa,,Imekuuma Sana Wewe Kuliko Muhusika?
 
Ku-dili na yasiyo kuhusu ni dalili za kupoteza sifa za uanaume wako. Mkuu utakunjwa na kuliwa kimasihara nakuonea huruma sana
 
Mataahira hao ukiwasikiliza na wafuasi wao wa mitandaoni.

Hivi unadhani ukigomea uchaguzi CCM itakosa usingizi au kufanya party tu.
 
Ndiomaana nasema tena Heche na Lisu hawafai kuwa viongozi wakuu wa chama Chochote Cha siasa
 
Ndiomaana nasema tena Heche na Lisu hawafai kuwa viongozi wakuu wa chama Chochote Cha siasa
Ni mataahira tu wanajazana ujinga JF kudhani in practice shughuli yenyewe ni rahisi kama wanavyoropoka humu,
 

Lugha ya kampeni hiyo. Lissu aliitwa Rais wakati wa kampeni wakati Rais alikuwa ni JPM.
 
Huu ujinga wa kuingia kwenye uchaguzi na cheo chako ndio kinaleta vilio vya aina hii. Huo mfano wa ccm kuwa chama dola unautoa maana unawaza kiccm.
 
Wewe mgonjwa wa zika tuondolee upuuzi wako mambo ya Chadema yanakuhusu nini kutwa kucha kuanzisha nyuzi kumshambulia Lissu utafikiri amekulala bila kukulipa hela yako.
 
Huu ujinga wa kuingia kwenye uchaguzi na cheo chako ndio kinaleta vilio vya aina hii. Huo mfano wa ccm kuwa chama dola unautoa maana unawaza kiccm.
Huyo mpuuzi ni mgonjwa wa zika ubongo wake umechanganyika na makasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…