Hili jambo linanifanya nisiwaze kabisa kuhusu kuoa

Kisa chako nikajua mwisho utakuwa umegonga mzigo ila umeweza kumshinda shetani, hongera kwa hilo.
Niliwahi kuondoka ndani nikasepa na kumwambia alimaliza zake muvi afunge mlango me nipo mbali
Vinginevyo nilikuwa nakuona kbs namsaliti mshikaji wangu..Wanawake waangalie hivi hivi
 
Kuna uwezekano mkubwa na yeye anawasiliana nao
huwa najiuliza kma naweza wasiliana na maex zangu walioolewa nini kinamzuia mke wangu kuwasiliana na maex zake walioolewa.
 
Wewe unachakata mke wa mtu lakini kwa sababu ya ubinafsi unahofia siku ukiwa na wa kwako naye atachakatwa...
 
Ni Kama vile kuogopa kuendesha Gari kwa sababu unaweza oata ajali.

Haya mambo yapo, tafuta mwanamke unayempenda, oa,Jenga maisha.

Usiogope maisha namna hiu
 
Hata mimi ilitokea kuna demu wangu namuota sana vibaya ila sikulitilia uzito sana hilo kwa sababu nilihisi ndoto zangu zilikuwa zinakuja kulingana na vile nilikuwa namuwaza, nilikuwa nawaza hanipendi.
Yani huo ndio ukweli, Ukiwa macho, mwili unakua na Nguvu kiasi kwamba utaitumikia tamaa ya mwili, Lakini ukiwa usingizin hasa ule usingizi wa Mang'amu ng'amu linalokuja akilini ndilo wazo sahihi.


Mimi kuna demu ilibidi, nimdanganye, Nilikua nimelala nae siku hiyo tupo Lodge, kesho anaondoka kwenda kwao ndipo tuanze mipango ya ndoa,

usiku ndoto ilikua ni kwamba huyo Manzi ndio tunakwenda kuachana hivo, kikashituka kwa uchungu hadi chozi lilinitoka, akaniuliza nalia nini nikamwambia Nimeota nakuaga kwenye basi unaondoka nitabaki na nani sasa...

Demu akanipa maneno ya falaja nikatulia, lakini moyoni najua Penzi ndo linaenda Kufa.
 
Ni Kama vile kuogopa kuendesha Gari kwa sababu unaweza oata ajali.

Haya mambo yapo, tafuta mwanamke unayempenda, oa,Jenga maisha.

Usiogope maisha namna hiu
Asante mkuu🀝
 
Hili la wanawake kutaka kutawala wanaume ndo baya linakatisha tamaa kabisa ya kukaa na hawa watu.

Kuliwa sio kesi
 
Hili la wanawake kutaka kutawala wanaume ndo baya linakatisha tamaa kabisa ya kukaa na hawa watu.

Kuliwa sio kesi
Hapa ninapokaa kuna jamaa pande la jitu limeoa mke mdogo kiumbo sijui umri wao ila kila siku naona mwanamke ndo anawaka kinoma full makelele jamaa anakaa kimya utafikiri yeye ndo kaolewa.
 
Hongera mkuu kwa kukiri kuwa huwa una shoo mbovu,maana hapa JamiiForums kila mtu huwa anasimamia kucha [emoji851]
πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜† Kweli mzee mi kwa huyu demu Nina show mbovu kinoma maana nikimuona tu namuogopa, napiga kitu huku moyoni sina amani hata kidogo. Ila kwa demu wangu nina show ambayo naridhika na kiwango chake ila sio viwango vya humu kwenye stori za wanaJF za kula mbususu kwa masaa mawili.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwanza lazima ujue wazi kuwa ukioa mke wako LAZIMA ATALIWA TU NA WEWE,kwa kuwa karma is bitch..

Pili achana na huyo mwanamke kaka,kama ushagundua kuwa sio kitu kizuri epukana naye coz mwisho wake ni mbaya,hata useme mko makini ila iko siku mumewe ataaga anaenda safari na atawategea mtego,kitachokukuta anajua MUNGU.
 
Ni kweli mke wa mtu sumu lakini akiwa kama huyu ni bora nife tu na hiyo sumu.. We only live once
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…