Hili jambo linanifanya nisiwaze kabisa kuhusu kuoa

Hili jambo linanifanya nisiwaze kabisa kuhusu kuoa

Kuna uwezekano mkubwa na yeye anawasiliana nao
huwa najiuliza kma naweza wasiliana na maex zangu walioolewa nini kinamzuia mke wangu kuwasiliana na maex zake walioolewa.
 
Wewe unachakata mke wa mtu lakini kwa sababu ya ubinafsi unahofia siku ukiwa na wa kwako naye atachakatwa...
 
Ni Kama vile kuogopa kuendesha Gari kwa sababu unaweza oata ajali.

Haya mambo yapo, tafuta mwanamke unayempenda, oa,Jenga maisha.

Usiogope maisha namna hiu
 
Hata mimi ilitokea kuna demu wangu namuota sana vibaya ila sikulitilia uzito sana hilo kwa sababu nilihisi ndoto zangu zilikuwa zinakuja kulingana na vile nilikuwa namuwaza, nilikuwa nawaza hanipendi.
Yani huo ndio ukweli, Ukiwa macho, mwili unakua na Nguvu kiasi kwamba utaitumikia tamaa ya mwili, Lakini ukiwa usingizin hasa ule usingizi wa Mang'amu ng'amu linalokuja akilini ndilo wazo sahihi.


Mimi kuna demu ilibidi, nimdanganye, Nilikua nimelala nae siku hiyo tupo Lodge, kesho anaondoka kwenda kwao ndipo tuanze mipango ya ndoa,

usiku ndoto ilikua ni kwamba huyo Manzi ndio tunakwenda kuachana hivo, kikashituka kwa uchungu hadi chozi lilinitoka, akaniuliza nalia nini nikamwambia Nimeota nakuaga kwenye basi unaondoka nitabaki na nani sasa...

Demu akanipa maneno ya falaja nikatulia, lakini moyoni najua Penzi ndo linaenda Kufa.
 
Hili la wanawake kutaka kutawala wanaume ndo baya linakatisha tamaa kabisa ya kukaa na hawa watu.

Kuliwa sio kesi
 
Hili la wanawake kutaka kutawala wanaume ndo baya linakatisha tamaa kabisa ya kukaa na hawa watu.

Kuliwa sio kesi
Hapa ninapokaa kuna jamaa pande la jitu limeoa mke mdogo kiumbo sijui umri wao ila kila siku naona mwanamke ndo anawaka kinoma full makelele jamaa anakaa kimya utafikiri yeye ndo kaolewa.
 
Hongera mkuu kwa kukiri kuwa huwa una shoo mbovu,maana hapa JamiiForums kila mtu huwa anasimamia kucha [emoji851]
😂😆😆 Kweli mzee mi kwa huyu demu Nina show mbovu kinoma maana nikimuona tu namuogopa, napiga kitu huku moyoni sina amani hata kidogo. Ila kwa demu wangu nina show ambayo naridhika na kiwango chake ila sio viwango vya humu kwenye stori za wanaJF za kula mbususu kwa masaa mawili.
 
Hujui nguvu ya mbususu wewe au utakuwa Una matatizo ya kikojoleo.Mwwnamke akija kwako mkawa wawili hizo nguvu ya kukataa kuchakata unaitoa wapi?

Juzi Tu hapo natoka zangu mishe narudi home sin hili wala lile nafika nyumbani Ile nataka nifungue geti nasikia mdada ananiambia waaooooh nikageuka kumbe mke wa mshikaji wangu nyumba ya pili na bonge la slay queen,bonge la demu unaambiwa!!

Nikamwambia mambo akajibu poa,nilitaka nikuwaoo Ila kumbe ndani sijavaa sidiria,maziwa yatakuchoma ukapata nyege.Si ndy nikaangalia vizuri kifuani!! Lahaulaa..mtoto amevaa shati la bwanake alafu vifungo viwili vya juu hajafunga ziwa hili hapa unaliona,jeupee limetuna km embe dodo inayokaribia kukomaa kokwa

Muda huo huo akili ikahama nikaweka mikono mfukoni kumshika shingo jogoo asiwike asije kuniaibisha getini

Nikamwambia mambo vp jamaa yupo wapi,nikajibiwa hayupo tangu asubuhi,nikamwambia karibu ndani,akajibu kuna nini kwako cha kunikaribisha satoh,nikamjibu ndani kuna juice Tu ya parachichi na embe mixer..hiyo tunaongea hayo yote huku tunatembea,tukawa tumeshafika home mlangoni

Nikafungua ghetto nikavaa vest nikamwambia karibu juice,akaingia ndani akakaa kwenye sofa Mimi nipo bize kueka vitu Sawa

Nikawasha TV bibie huku anakunyea zake juice Mimi wala sina mawazo yoyote mabaya kichwani,akaniambia weka azam two niangalie marudio ya kessari,mpaka hapo sina wazo lolote Baya kichwani,nikamwekea na Mimi nikakaa niangalie kumsapoti maana siangaliagi hiyo tamthiliya imekaa kitoto Sana

Hapa ndy mambo yakaanza,maswali ya hovyo na mitego

Sasa akawa haniiti shemeji ananiita jina langu moja Kwa moja..satoh sasa unaishi vp hapa bila mwanamke Una nyumba nzuri( ingawa si yangu nimepanga Ila ni nyumba Kali kweli ambayo hata ukiwa na demu mpya ukimleta hapo atapafurahia)..nikamjibu atakuja tu siku moja utamwona,akauliza kumbe unae eeh,hapo anauliza huku ameshachanua mapaja na amevaa taiti..muda huo ndy akili ikawa imeshaanza kuhama sasa,maana kitumbua hiki hapa kimevimba hatari,niliaga naenda kununua ndizi ndy nikaishia huko nikampigia simu funguo aweke sehemu Fulani Ila alimaind sn maana alinambia nimemkimbia au nimemwona yeye Malaya sn..so jamaangu usiombe mwanamke akuamulie kukutega,kuruka inahitaji uwe na roho mtakatikfu au neema ya bwana ikushukie

Sikula mzigo Ila ananisumbua na meseji za hovyo sn Hadi Leo na ni mke wa mshikaji wangu,zile Stori za kuniita mume mume mbele ya mumewe na jamaa anachukua poa kumbe bibie anamaanisha kweli...kuna wahuni hawatapenda Stori ilivyoishia [emoji28][emoji28]..imeisha vby km ya bongo muvi

Mleta mada Mimi sikulaumu hata kidogo,kukaa na mwanamke ndani na siyo mamaako au dadaako na usifanye chochote Kwa mwanaume inakuwa kitu kigumu japo inawezekana ukiwa na msimamo..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwanza lazima ujue wazi kuwa ukioa mke wako LAZIMA ATALIWA TU NA WEWE,kwa kuwa karma is bitch..

Pili achana na huyo mwanamke kaka,kama ushagundua kuwa sio kitu kizuri epukana naye coz mwisho wake ni mbaya,hata useme mko makini ila iko siku mumewe ataaga anaenda safari na atawategea mtego,kitachokukuta anajua MUNGU.
 
Ni kweli mke wa mtu sumu lakini akiwa kama huyu ni bora nife tu na hiyo sumu.. We only live once
JamiiForums-1806632248.jpg
 
Back
Top Bottom