Hili jambo linanifikirisha sana

Hili jambo linanifikirisha sana

Za asubuhi,, Hivi shetani yupo kweli au ni hadithi tu za wazungu ??? Mtu anaamua kufanya ubaya yeye mwenyewe anaanza shetani kanipitia yupo kweli??
Hapo wazungu wanahusikaje? Si ni suala tu la wewe kuamua kuamini au kutokuamini. Mnawasingizia mengi wazungu kwa ujinga wenu.
 
Ubaya gani umefanyiwa? Isije ikawa mpangaji mwezio kavaa tu kandambili zako za choon unasema ubaya
 
Back
Top Bottom