Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Sasa wewe mpumbavu ambaye umeamua kufuata. Si una uhuru wa kuamua kufuata ama kutofuataSi ndo walituletea dini au umejizima data
Kwani dini ni nini, mkuu? Hebu tuanzie hapo kwanza. Isijekuwa kwako wewe dini ni Uislamu, Uyahudi na Ukristu tu.Si ndo walituletea dini au umejizima data
Sasa utasemaje ivyo km ujafanyiwa ubayaNimesema wapi nimefanyiwa ubaya??
Wewe upo au haupo?Huna hoja unaleta ngonjera
Wewe ni Nini?Nipo
Ubaya ubwela. Ndo aliofanyiwa.Ubaya gani umefanyiwa? Isije ikawa mpangaji mwezio kavaa tu kandambili zako za choon unasema ubaya
Wewe naona upo kama mbwa koko...hujielewi. 😁Naona unastress ngoja nikuache naona unafokafoka kama nguruwe pori
Ni wapi anaweza kupata jibu?Ilo swali lako hapa huwezi kupata jibu
Not guaranteed lakini at least kwa watu wenye profession izo,Ni wapi anaweza kupata jibu?