Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Sio nimekosa mtu ila naona mtu anakuoa kisa ameoa tu mke wawatoto sasaUsijikatie tamaa kipenzi, still uko na nafasi ya kubadilisha maisha yako
Okay,, Kwani wewe saizi mahusiano yako unataka yawe ya namna gani?, Yani unahitaji Nini kwenye hayo mahusianoSio nimekosa mtu ila naona mtu anakuoa kisa ameoa tu mke wawatoto sasa
Jibu ni pipe🙄Okay,, Kwani wewe saizi mahusiano yako unataka yawe ya namna gani?, Yani unahitaji Nini kwenye hayo mahusiano
Tulia wewe😃🧐Jibu ni pipe🙄
Talk to herUsijikatie tamaa kipenzi, still uko na nafasi ya kubadilisha maisha yako
I'm trying to... Kama atanielewa lakini maana akili zake anazijua mwenyewe 😃Talk to her
Swali zuri akikujibu nitagOkay,, Kwani wewe saizi mahusiano yako unataka yawe ya namna gani?, Yani unahitaji Nini kwenye hayo mahusiano
Jamani wewe🧐🧐Mna uhakika dada mau ni mwanamke? Isijekua ni mwanaume anatuchezea akili...
Washabutua wangapi so far!!Nadhani mtu anajua kuna amri kumi za Mungu .
Sasa hii ya amri ya 6 tunaipuuziaga ila ndani ya hii amri Mungu alificha mengi.
Nimekuja kujua tunda lakati kati ni tamu ila madhara yake ndio kutoolewa kwa wakati ,kupata shida ya vizazi,kuwa na maroho ya ajabu ajabu ambayo yanaweza kuharibu mambo yako kabisa. Kisa ulifanya mapenzi na watu kadhaa .
Ndio kusalitiwa ndio kubadilisha badilisha wanaume nakutojielewa unatakaje. Kweli ningekuwa nimejitunza walahi ithink nisingekuwa single na jikomba ili status ibadilike mtu bikra hajikombi anapata kitu classic .
Japo uelewi ukija kuwa muelewa utajuta kukigawa sina stress nanani kakuambia huyu uliyenaye hakutumii kwa faida zake .?? Eh mie nakuambia ukweli kama wewe ni ke jua me anakufaidi ndio maana upo naye kama ni me jua ke anakutumia kwa kiasi fulani hujui lolote kuhusu kuivunja hii amri saivi huenda unaona mie chizi ila ipo siku utajua kuwa mie sio chiziNamuomba Mungu stress za mapenzi zisinifikishe level hii....❌