Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Jamani mkitoka uko mlikokua naomba mpitie hapa kuna ushauri wa bure kutoka kwa da mau ππππ
Joannah Tayana-wog Mahondaw
Ana hoja asikilizweβ¦!!Alichokingea ni kweli basi tu watu hawaelewi au wanajitoa ufahamu
Bwawa la Nyerere TenaπππKwa namna tulivyomlea huyu Mjukuu, hawezi kumiliki Bwawa la Nyerere.
Vijana waache kumsema Mjukuu wangu
Wananipa sababu za kuongeza kiwango cha mahari Kwa Mjukuu wangu, Babu yenu nimefanya kazi kubwa kwenye kumlea hata kufuga mbwa mkali nyumbani πKabisaa nakazia πππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mada inahusu nn kwan?Changia hayo hayo udugu kikubwa usiondoke bila kuchangia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka ateme ndoano [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vijana wamezidi kutoa malalamiko kuhusu hayo mabwawa, ndiyo namtetea Mjukuu wangu apate Mume hivyo πBwawa la Nyerere Tenaπππ
Kweli kabisa babu tawile πππWananipa sababu za kuongeza kiwango cha mahari Kwa Mjukuu wangu, Babu yenu nimefanya kazi kubwa kwenye kumlea hata kufuga mbwa mkali nyumbani π
Kwani mabwawa yako mangapi? πππVijana wamezidi kutoa malalamiko kuhusu hayo mabwawa, ndiyo namtetea Mjukuu wangu apate Mume hivyo π
Kwenye uzi soma paragraph ya mwisho ndo point ilipo ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mada inahusu nn kwan?
Umekuwa mzee wa hovyoπππVijana wamezidi kutoa malalamiko kuhusu hayo mabwawa, ndiyo namtetea Mjukuu wangu apate Mume hivyo π
Hata wanaume wako na tabia hizo pia, anakua kwenye shida na mdada akishajipata anaenda tafuta mwanamke wa ndoto yake.Kuna mtu kakoment hapo juu kasema hivi ya kuwa wanawake huwa mnakuwa tayari mshawapata waume zenu "halali" kitambo.
Ila shida ni kuwa huwa mnawakataa kwa kuwa hawajajipata kimaisha yaani kipesa. Hii ni kweli kabisa.
Nilikuwa na girlfriend ambaye binafsi nilimbikiri tukiwa chuo na tunatoka kijiji kimoja. Nilimpenda mdada wa watu kiasi kwamba nilimtongoza mwaka na nusu ndio akanikubalia.
Tulikuwa na mipango mingi sana na memory nyingi sana. Shida ilianza wakati me ndio nimemaliza chuo (nilimzidi mwaka mmoja) ambapo boom imekata inabidi nikajitafute kitaa .
Basi dharau za waziwazi zikaanza wakati hajawahi kuwa hivyo.
Kuna siku mbele ya wanaume wenzangu(classmate wake) alianza kuwaomba hela huku na me nikiwepo. Nilimpiga jicho hivi labda kajisahau lakini nikaona bado anaendelea kuwaomba nasi nikajiondokea.
Jioni usiku nikamuomba kwa maongezi baina yangu na yake nikamueleza binafsi nimeumizwa na kitendo cha yeye kuomba pesa mbele yangu .(Kiukweli nilikuwa sina pesa ndani ya lile week(Nilimueleza kistaarabu)
Jibu lililopewa lilinikata maini naomba nisiliandike hapa.
Basi moyo wa kumpenda tena ukaanza yeyuka nikarudi mtaani kujisaka hapo sitaki mahusiano maana shida au tatizo langu nishalijua. Nikaona bora niwe peke angu nitafute life tu.
Guess what nimerudi mtaani wakat huo yeye yupo last year 2021 hiyo hadi leo sijawahi mtafuta.
Wakati nikiwa mtaani kuna katoto kadogo kalinipenda me nikawa nakakwepa maana sijatibu lile tatizo langu (ukata) . Yeye akawa ananipenda hivyohvyo.
Kuja kumgusa mtoto alikuwa ni bikra basi mtoto ni mkali mzuri kuliko ex wangu nikaona hapa nitulie tu.
Mwaka baadae nikapata kazi nikahama home kabisa nipo na mtoto mpya ex wangu anatuma watu anaona aibu kunitafuta directly. Basi me hata sikujihangaisha maana nimempata wangu na makoto yapo.
Hivi sasa huyu mwanamke mwingine wa sasa tunatarajia kupata mtoto wa kwanza pamoja.
Nb;
Wanawake mkiona mnatafutwa afu hatuna kitu mnatuonaga kama hatuji inuka hivi . Mwisho mnaishia kuwa na body count za kutosha maana wenye navyo huishia kuwatumia tu.
Shida huwa na kikomo pia.
Sorry Unique Flower.
Na amekaa hivyo muda mrefu bila kupata huduma hadi ameanza kuongea peke yake.Kweli kabisa babu tawile πππ
Dada katulia km maji ya mtungini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nisamaraizie.Kwenye uzi soma paragraph ya mwisho ndo point ilipo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na inatesa watu wengi bila kujua, wengi wanasingizia kurogwa ,kumbe wamejiroga wenyewe na wanaendelea kujirogaNi kweli kabisa,it's spiritual thing
Imebidi nirudi kusoma πππKwenye uzi soma paragraph ya mwisho ndo point ilipo ππππ
πππππ mshamba_hachekwi umemsikia babu?? Uache kumsema da mau kimevundaNa amekaa hivyo muda mrefu bila kupata huduma hadi ameanza kuongea peke yake.
Kwa kweli apate Mume tu ili awe sawa π
SwadaktaHata wanaume wako na tabia hizo pia, anakua kwenye shida na mdada akishajipata anaenda tafuta mwanamke wa ndoto yake.