Hili jambo lipoje, kuna madhara ndani yake?

Wazee wa kisasa Asprin
ila nna swali mzee mwenzangu hii kitu umeitoa wap sio mbaya sana ukilumangila na ka ugali
16464637_953638311435074_8253131356956000256_n.jpg
 
Sana wanakera wanawake wa namna hii,wanadumaza watoto hadi huruma. Kuna mmoja nilimshuhudia guest moja(SITAKI MASWALI) huko alikua na shost ake wakaingia gest na mtoto,mwenye mtoto akaingia chumban na linjemba(shosti akabaki na mtoto kwenye benchi,)baada ya saa fulan hivi wakatoka njemba inafuta jasho,bidada akambeba mwanae na kusepa.
duh ukisikia kauli kama hii kutoka kwa mwanamke kwenda kwa mwanamke mwenzie ujue hlo jambo limegiusa moyo wake
 
Sana wanakera wanawake wa namna hii,wanadumaza watoto hadi huruma. Kuna mmoja nilimshuhudia guest moja(SITAKI MASWALI) huko alikua na shost ake wakaingia gest na mtoto,mwenye mtoto akaingia chumban na linjemba(shosti akabaki na mtoto kwenye benchi,)baada ya saa fulan hivi wakatoka njemba inafuta jasho,bidada akambeba mwanae na kusepa.
jiandae kwa maswali tu

hayo yote yanatokea mpaka mtu katoka ndan wewe umekaa tu unawaangalia
 
Nauza maelekezo muhimubya utafiti wenu

Ulimhonga nn? Mbona sijawah ona anakusifia hata mara moja. Acha ubahili honga vikubwa vikubwa mfano kidokezo cha waraka.
"Kwan unauza nin dada huntakii mema"
ukisema neno kuhonga embu muulize geniveros vizur atakwambia
 
Nauza maelekezo muhimubya utafiti wenu

Ulimhonga nn? Mbona sijawah ona anakusifia hata mara moja. Acha ubahili honga vikubwa vikubwa mfano kidokezo cha waraka.
huyo hana maneno meng kama wewe amepewa vitu vizur na vitamu sanaaaa
 
Back
Top Bottom