Hili jambo siwezi kulisahau kwenye maisha yangu

Hili jambo siwezi kulisahau kwenye maisha yangu

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
18,969
Reaction score
27,446
Nakumbuka wakati nimetoka kwenye mishe zangu ikiwa ni saa 7 kasoro mida ya usiku Sana siku ya jumamosi nikakutana na wadada wawili warembo stand wakisubili gari pamoja na me.Tumekaa kidogo wakatokea vidume watatu wakaanza kuwashika matako na maziwa wale wasichana bila ridhaa yao.

Mara ya kwanza nikafikiri labda wale wadada wanajiuza baada ya kuwaona tu kutokana na mmoja wao kuvaa kimini kinachombana ila baada ya kumsikiliza mazungumzo wakati anapigiwa simu before ya wale vijana watatu wakiume hawajaja inaonekana walikuwa wametoka kwenye harusi.

Me ikabidi niingilie cos sikuona Jambo zuri kwa wale vidume kuwashika wale wasichana bila ridhaa yao nikabidi waache kufanya hivyo ila hawakunisikia na kunianzishia vurugu mpaka gari likaja nikabidi niwapandishe wale wadada huku vidume wakiwan'gan'gania nikamuomba konda atusaidie na wale wauni wasiingie the end of the day tukafanikiwa kuwakwepa wale wauni.

Wale wadada wakanieleza wanapokaa kiukwel wanapokaa ni mbali maana baada ya kushuka kituoni inabidi wachukue bodaboda au pikipiki nikabidi niwaambie Kama vipi muende kwenye ghetto langu alafu kesho ndo mrudi kwenu maana usiku ni mkubwa na mnaweza kupata majanga zaidi ya mliopata hivi punde wale wadada wakakubali ikabidi waje ghetto ambalo pia ninaishi na mshikaji wangu.

Tukafika pale mshikaji wangu akatupokea mshikaji wangu akazani nimeleta mademu hao kwaajili ya kwichikwichi akaniambia hivi utawaweza hao mademu wawili wote kwanini usinipe mmoja me nikabidi nimueleze yote. Na ghetto letu linachumba kimoja na sebule ikabidi wale wasichana niwape chumba hiko alafu sisi tulale sebuleni.

Mshikaji wangu akawa ana muemuko kiukweli wale wadada wapo vizuri sura mpaka shepu ila nikamshauri mwana ajaribu kucontrol hisia zake. Kesho ikafika tukanywa chai baada ya happo ikabidi ninunue khanga kwa ajili ya mmojawapo Kati ya wale wademu cos kimini chake kilichanwa na wale wauni wa Jana usiku.

Na pia nikawapa nauli ya kwenda kwao wakanishukuru Sana kwa msaada niliyowapa na wakanipa na contact number zao Kama sehemu ya wao kuitumia kunipa zawadi kwa kile nichowafanyia.

NB: Baada ya tukio Hilo kupita mambo yangu mengi yalifunguka kuanzia masomo yangu mpaka mambo yangu mengine ya maisha ambapo hapo kabla yalikuwa sifanikishi pamoja na juhudi zote nilizotumia nikaamini Mungu ni mkubwa muda wote.
 
Mkuu ulifanya jambo jema sana kuwasaidia bila kuingiza mambo ya ngono na Mungu alizidi kukubariki ulipowasaidia

Ila wazee wa kula tunda kimasihara hawatakuelewa kabisa jiandae kwa mapovu yao
He he! Hakuwa na Nye..ge tu Kama ningekuwa mimi mwisho wa kuwasaidia ungekuwa ni kuwapandisha gari pa kulala kwenye getho ningeteseka sana nisingelala! Kibamia kingechachamaa kikitaka nyama ya hamu😜
 
He he! Hakuwa na Nye..ge tu Kama ningekuwa mimi mwisho wa kuwasaidia ungekuwa ni kuwapandisha gari pa kulala kwenye getho ningeteseka sana nisingelala! Kibamia kingechachamaa kikitaka nyama ya hamu[emoji12]
Wazee wa kula tunda kimasihara mnatamani mngekuwa nyinyi [emoji1787] cheki baraka zilivyomshukia mwenzenu
 
Back
Top Bottom