Hili jambo siwezi kulisahau kwenye maisha yangu

mkuu ungewachakata wangekushukuru zaidi ya hapo coz wangejua wewe ni kidume halisi bt any way hilo halikua kipaumbele chako
 
Mkuu ulifanya jambo jema sana kuwasaidia bila kuingiza mambo ya ngono na Mungu alizidi kukubariki ulipowasaidia

Ila wazee wa kula tunda kimasihara hawatakuelewa kabisa jiandae kwa mapovu yao
Nawajua vizuri Hawa jamaa hata nilivyowaeleza watu wakaribu wakani mind nakusema utakuwa shoga sijui kwanini suala la ngono tumeweka kipaombele sana.
 
Mkuu umeandika "kusubili gari" kwanini unsingemalizia makosa kabisa uandike "kusubili gali"?

Alafu eti kuna mahali umesema ilibidi baada ya kushuka kituoni wachukue bodaboda au pikipiki. Kwani hizi vyombo ni vitu viwili tofauti huko kwenu?
Mzee baba Uzi ni mrefu lazima ukosee especially kwa sisi ambao hatujazoea kuandika maelezo marefu hapo kwenye bodaboda nilitaka niandike bodaboda au bajaji
 
Hongera Sana mkuu n Wanaume wachache wenye Roho hyo...by the way MUNGU Alikua na kusudi lake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa hufai kuwa kidume asee. Umetuaibisha sana wazee wa ule uzi pendwa wa kula tunda kimasihara [emoji31][emoji31][emoji31]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Next time usifanye huu mzaha mimi nliwahi msaidia demu akaa kwangu siku kadhaa siku omba penzi kumbe akaniona boya nikaja sikia maneno pembeni ananikandia

Sent using Jamii Forums mobile app
Demu kakuona boya labda alikuonesha dalili ya kutaka mchezo alafu wewe huku accept mchezo ndo anafika hatua ya kukuona boya lakini hawezi kukuona boya for no reason cos nyinyi hamna uhusiano wa kimapenzi na kila mtu ana mishe zake.Lakini kwa upande wangu siwezi kutumia tatizo la mtu Kama mwanya la kupata penzi
 
Ni kweli, ila tatizo baadhi ya mademu wanaweza wahisi ni mashogo au wakahisi vibaya nyie hamkuwashobokea.
Na hili ndio tatizo kubwa. Pale unajaribu kuonesha u jentelomani afu ukute demu ni wacky atakuchukulia shoga.

Sasa siku ukikutana na demu jentelo nae, ukimletea za tunda kimasikhara anakuona wacky hawa wanawake ni shida sana kuwatafsiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ulifanya jambo jema sana kuwasaidia bila kuingiza mambo ya ngono na Mungu alizidi kukubariki ulipowasaidia

Ila wazee wa kula tunda kimasihara hawatakuelewa kabisa jiandae kwa mapovu yao
Kwa kweli ata mie simuelewi kabisa... Yaa i hapo gheto ingegomgwa show moja ya 4some balaaaa.
 
Kwa kweli ata mie simuelewi kabisa... Yaa i hapo gheto ingegomgwa show moja ya 4some balaaaa.
Wazee wa kukulana hamuwezi muelewa mwenzenu ila kafanya jambo jema sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…